Dkt. Mwinyi : Tutahakikisha Wananchi wanapata huduma bora za afya

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amesema malengo ya Serikali katika sekta ya afya ni kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora za afya.Dkt.Mwinyi ameyasema hayo wakati akifungua kituo cha...

Ujenzi wa Vituo vya Afya Korogwe Wasuasua

0
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tanga kimeeleza kutoridhirishwa na kasi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata za Mnyuzi na Kerenge vilivyopo wilayani Korogwe ambavyo licha ya Serikali kutoa fedha, ujenzi bado...

Dkt. Kijaji : Zalisheni bidhaa za kuuza katika soko la AfCFTA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amevitaka viwanda vyote nchini kutengeneza bidhaa zenye ubora na kwa gharama nafuu ili ziweze kuingia katika soko lililopo kwenye Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA).Waziri Kijaji...

Rufaa za wagonjwa Mafia kwenda Dar zapungua

0
Bohari ya Dawa (MSD) imesema usambazaji wa dawa na vifaa vya kisasa katika Kisiwa cha Mafia mkoani Pwani umesaidia kupunguza rufaa za wagonjwa kutoka kisiwani humo kwenda kutibiwa mkoani Dar es Salaam.Akizungumza kisiwani Mafia...

Unywaji wa mtori mwingi hauongezi maziwa kwa aliyejifungua

0
Dkt. Issa Rashid, Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Wanawake na Uzazi Hospitali ya CCBRT mkoani Dar es Salaam amesema utamaduni wa baadhi ya wanawake waliojifungua kupewa kwa wingi chakula cha aina moja, mfano...

UTUNZAJI WA MAZINGIRA TIBA KWA AFYA YA AKILI

0
Kupitia Kampeni endelevu inayoendeshwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ya upandaji wa miti nchi nzima. Leo tarehe 27 Julai 2023 zoezi la Upandaji miti limefanyika mkoani Dodoma katika na chuo Mipango ambapo Uongozi...

MSD yafikisha dawa kusiko na barabara

0
Bohari ya Dawa (MSD) imefikia asilimia 95 ya usambazaji wa dawa na vifaa tiba wilayani Kyela mkoani Mbeya.MSD imefanya hivyo pamoja na kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambapo katika kijiji cha Ikombe kilichopo pembezoni mwa...

Faida ya nanasi kwa wajawazito

0
Nanasi ni tunda tamu lenye maganda ya miiba na pia linatumika kutengeza juisi.Nanasi lina faida nyingi hasa kwa Wajawazito kutokana na kuwa na kimeng'enya cha Bromelain ambacho kinasaidia katika mtiririko wa damu kwenye...

Usichofahamu kuhusu Dementia

0
Dementia inayofahamika sana kamashida ya akili sio ugonjwa, bali ni hali inayosababisha mtu kukosa uwezo wa kutunza kumbukumbu, kufikiri na kushindwa kufanya maamuzi yanayohusu shughuli zake za kila siku.Hali hii inawapata zaidi wazee kutokana...

Maajabu ya mti unaotibu magonjwa 100

0
Mti huu unaitwa Mlonge (moringa oleifera), asili yake ni uhindi na unapandwa maeneo ya kanda za tropiki na nusutropiki.Maganda mabichi ya Mlonge, maua yake, mbegu, mizizi na majani yake hutumika kama chakula na dawa...