Wadaiwa kumwacha Mchina ashinde

0
Uchunguzi unafanyika juu ya mashindano ya Beijing (Beijinga half marathon) kufuatia uwepo wa viashiria kuwa wakimbiaji watatu kutoka Afrika walipunguza mwendo kwa makusudi ili kuhakikisha mkimbiaji wa China, He Jie anakuwa mshindi.Jie alimaliza mbio...

Mo akutana na uongozi Simba

0
"Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto ziko wapi na namna ya kuzitatua, kikao kimeenda vizuri. Wanasimba tusife moyo tuendelee kushirikiana." ameandika Mohamed Dewji kwenye ukurasa wake wa InstagramJe, Wewe unaona changamoto...

Beno Kakolanya atoroka kambini

0
Golikipa namba moja katika kikosi Singida Fountain Gate FC Beno Kakolanya ametoroka kambini wakati timu yake ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi Yanga SC utakaopigwa leo majira saa 10 jioni jijini Mwanza.Taarifa iliyotolewa...

Teknolojia ya kutambua offside kutumika EPL

0
Rasmi vilabu vya Ligi Kuu ya nchini Uingereza vimekubali kuanza kutumia teknolojia mpya ya kutambua offside (Semi- Automated Offside Technology).Mfumo huu mpya utaanza kutumika kwa mara ya kwanza katika ligi kuu hiyo msimu ujao.Je,...

Singida FG yahofia kipigo kutoka kwa Yanga

0
Msemaji wa Singida Fountain Gate, Mussa Masanza amesema anahofia timu yake kupokea kipigo kutoka kwa Yanga kutokana na uwezo wa timu hiyo kwa sasa."Hakuna mtu anayetamani kukutana na Yanga… Tunasikitika kumkosa Thomas Ulimwengu, ila...

Mkataba wa kwanza na Yanga ulikuwa mbovu

0
“Mkataba wangu wa kwanza Yanga haukuwa mzuri nilikuwa hata siwezi kuondoka. Nilikuwa sijui Kiingereza, meneja wangu naye hajui Kiingereza anacheka cheka tu na viongozi, mkataba ulikuwa mgumu, mimi nimesaini tu nicheze nionekane," amesema Fiston...

Mayele : Nitukane mimi, sio watoto wangu

0
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ameeleza kuchukizwa na kitendo cha watu wanaoweka jumbe za matusi kwenye ukurasa wake wa Instagram, na kwamba alikwazika zaidi siku walipofanya hivyo kwenye picha ya mwanaye aliyoichapisha.Katika...

Klabu ikidaiwa na mchezaji haishiriki ligi

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefungua ‘dirisha’ la klabu kuanza kuomba leseni kwa msimu wa 2024/2025 na kuweka wazi kwamba klabu yoyote itakayokuwa inadaiwa na mchezaji haitapata leseni kushiriki ligi.Taarifa imefafanua kwamba...

Chamazi haondoki mtu

0
Timu ya Azam FC imemsainisha mkataba mpya beki wake na naodha msaidizi, Lusajo Mwaikenda ambao atautumikia kwa muda wa miaka miwili mpaka 2027.

Mshindi Bunge Marathon kubeba Mil.5

0
Mwenyekiti wa Bunge Marathon ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Makete mkoani Njombe, Festo Sanga amesema washindi wa mbio ndefu (Bunge Marathon) ambao ni mshindi wa mbio za kilomita 21 ataibuka na kitita cha...