Waja na ugunduzi kutibu kabisa Ukimwi

0
Wanasayansi wanasema wamefanikiwa kuondoa kabisa virusi vinavyosababisha Ukimwi (VVU) kutoka kwenye seli za mwili zilizoambukizwa, kwa kutumia teknolojia ya kurekebisha upya jeni za mwili ya Crispr (Crispr gene-editing technology) iliyoshinda Tuzo ya Nobel.Teknolojia hii...

Serikali : Hatutakamata wasio na bima ya afya

0
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema, serikali imekamilisha rasimu ya muswada wa Sheria ya Bima ya Afya, na imewasilisha rasimu ambayo imesomwa kwa mara ya kwanza katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

Mapenzi yanasababisha tatizo la afya ya akili

0
Daktari Praxeda Swai kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili amesema kuwa hakuna kitu ambacho kinasababisha moja kwa moja tatizo la afya ya akili, lakini vipo vitu mbalimbali vya kibaiolojia na kijamii ambavyo vinaweza kuchochea...

Dkt. Kijaji : Zalisheni bidhaa za kuuza katika soko la AfCFTA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amevitaka viwanda vyote nchini kutengeneza bidhaa zenye ubora na kwa gharama nafuu ili ziweze kuingia katika soko lililopo kwenye Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA).Waziri Kijaji...

Rais Samia aipongeza hospitali ya Rufaa Manyara

0
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza watumishi wote wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Manyara (Manyara RRH) kwa kutoa huduma bora na kuwataka waendelee kuwa na moyo wa kujitolea wakati wa kutekeleza majukumu...

Waafrika wanajiua zaidi duniani, WHO yaingilia kati

0
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuzindua kampeni ya kuzuia kujiua barani Afrika, kufuatia kuwepo kwa ripoti nyingi za mauaji ya aina hiyo kutoka Afrika.WHO inaitaja Afrika kuwa ndilo bara linaloongoza kwa watu wake...

Vifo ajali ya Mtwara vyaongezeka

0
Mganga mkuu wa mkoa wa Mtwara Dkt. Mohamed Nyembea amethibitisha kuongezeka kwa vifo vya mwanafunzi wawili wa shule ya msingi ya King David, ambao walikuwa miongoni mwa majeruhi watano waliokuwa katika hali mbaya...

Bima ya afya kwa wote mkombozi kwa wagonjwa wa moyo

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge amesema, Bima ya Afya kwa wote itawasaidia wananchi wengi ambao wanashindwa kumudu gharama za matibabu ya moyo.Dkt. Kisenge...

Waliohusika kukeketa Mabinti Wasakwe

0
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee ameagiza kukamatwa kwa wazazi na walezi 70 waliohusika kukeketa watoto waliorejea majumbani kutoka katika hifadhi ya nyumba salama baada ya kukimbia ukeketaji.Mzee ametoa agizo hilo...

Mkurugenzi mkuu wa Global fund akutana na wadau

0
Mkurugenzi Mkuu wa Global Fund Peter Sunds amekutana na wadau mbalimbali wa masuala ya afya hapa nchini ikiwa ni pamoja na taasisi binafsi na serikali.Mkurugenzi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa taasisi...