Dalili zinazoonesha mtoto ana vipawa vya hali ya juu

0
Mtoto wako amejaliwa kuwa na vipawa?. Ni swali ambalo wazazi wengi hufikiria mara nyingi.Watoto wengi wenye vipawa wanaweza kujifunza na kuchakata taarifa kwa haraka zaidi kuliko watoto wa umri wao.Hata hivyo wataalam wa 'Neuroscience'...

Maambukizi ya Malaria yapungua nchini

0
Leo ni siku ya Malaria Duniani, ambapo kitaifa siku hiyo inaadhimishwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.Lengo la maadhimisho hayo ni kutoa elimu na hamasa zaidi kwa jamii juu ya kujikinga...

Inawezekana unaishi na TB

0
Kifua Kikuu (TB) huambukizwa kwa njia ya hewa na bakteria aina ya Mycobacterium tuberculosis kutoka kwa mtu mmoja ambaye auaugua ugonjwa huo kwenda kwa mwingine.Akizungumza katika kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC 1, Mratibu...

Waliogomea wito wa Dkt. Mollel watakiwa kujieleza

0
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewaagiza wakandarasi kutoka kampuni ya Luba, MUST na Ardhi ambao waligomea wito wake wa kuwataka wafike katika eneo la mradi wa ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya...

Serikali kushirikiana na wadau kuboresha sekta ya afya

0
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameushukuru uongozi wa Shirika la Afya la Japan(Tokushukai Medical Group), kwa kuendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kupitia hospitali ya Benjamin Mkapa kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...

Biashara ya figo ni haramu

0
Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma Dkt. Alphonce Chandika amesema, wapo vijana wengi wanaompigia simu wakitaka kuuza figo na kuwataka waache kufanya hivyo.Dkt. Chandika amesema endapo mtu ana ndugu mwenye...

Apona Ukimwi

0
Watafiti wametangaza kuwa mwanaume mmoja nchini Ujerumani aliyeishi na virusi vya Ukimwi tangu mwaka 2008, amepimwa na hakuna virusi vilivyoonekana kwenye vipimo hivyo.Utafiti uliofanywa na watafiti 36 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Ujerumani, Uholanzi,...

Mbu mpya agunduliwa

0
Aina mpya ya mbu anayeeneza ugonjwa wa malaria kwa kipindi cha mwaka mzima imegundulika nchini Kenya.Asili ya mbu huyo ni Asia Kusini, mbu huyo 'Anopheles stephensi', na anadaiwa kuwa ni sugu kwa dawa za...

Nukuu za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

0
“Tuna kesi zenye ushahidi watanzania wanauza nyumba zao ili kugharamia matibabu ya mgonjwa, Bima ya Afya ni moja ya sehemu ya kumkomboa mwananchi maskini kwa sababu atapata huduma za matibabu bila ya kikwazo cha...

Waliohusika kukeketa Mabinti Wasakwe

0
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee ameagiza kukamatwa kwa wazazi na walezi 70 waliohusika kukeketa watoto waliorejea majumbani kutoka katika hifadhi ya nyumba salama baada ya kukimbia ukeketaji.Mzee ametoa agizo hilo...