Denmark kuendeleza ushirikiano na Tanzania

0
Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Denmark (DANIDA) limeadhimisha miaka 62 tangu kuanzishwa kwake hapa nchini huku Balozi wa Denmark nchini, Mette Norgaard Dissing-Spandet, akiahidi kuendeleza uhusino na ushiriano mzuri na wa muda mrefu...

Mtuhumiwa wa mauaji ya 1994 Rwanda akamatwa Marekani

0
Eric Tabaro Nshimiye, mzaliwa wa Rwanda amekamatwa huko Ohio, Marekani kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda.Waendesha mashtaka wa Shirikisho wanamtuhumu Nshimiye kwa kuficha uhusika wake kwenye mauaji...

Papa Francis aweka sawa uvumi wa kustaafu

0
Papa Francis hana nia ya kustaafu kama ambavyo imekuwa ikivumishwa na amepanga kusalia katika wadhifa huo maisha yake yote, kulingana na tawasifu yake mpya.Papa mwenye umri wa miaka 87, amesema "hakuna hatari (yoyote ya...

Wasimulia njaa, mauaji, ubakaji vita vinavyoendelea Sudan

0
Raia walionaswa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan wametoa maelezo kuhusu ubakaji, ghasia za kikabila na watu kunyongwa mitaani.Waandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) wamefanikiwa kufika mstari wa...

Libya wakubali kuunda serikali ya umoja wa kitaifa

0
Viongozi wa serikali mbili zinazohasimiana nchini Libya wamekubaliana kuunda serikali moja ya umoja wa kitaifa, jambo linaloashiria maendeleo katika kumaliza mkwamo wa kisiasa ambao umedumu kwa zaidi ya muongo mmoja.Katika taarifa ya pamoja, viongozi...

Mawaziri wa SADC waipa pole Tanzania

0
Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) linaendelea na mkutano wake jijini Luanda, Angola ambapo katika siku ya kwanza ya mkutano huo limewasilisha salamu za rambirambi kwa Tanzania kufuatia kifo...

Tanzania yaingia 40 bora ‘Miss World’

0
Mrembo wa Tanzania, Halima Kopwe @halima_kopwe ameingia katika 40 bora kwenye kwenye shindano la ulimbwende la dunia (Miss World) linaloendelea nchini India.Hili ni shindano la urembo la dunia la 71 ambalo limeanza Februari 18,...

Ijue Siku ya Wanawake Duniani

0
Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani (IWD) ni sikukuu ambayo nchi nyingi zimekuwa zikiiadhimisha kila mwaka ifikapo Machi 8 na sasa maadhimisho haya yamedumu kwa zaidi ya karne moja.Kila mwaka, maadhimisho huwa na mada...

Achanjwa mara 217 kujikinga na Uviko

0
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 62 huko Magdeburg, Ujerumani anadaiwa kwa makusudi ama kwa sababu binafsi alipatiwa chanjo mara 217 dhidi ya Uviko ndani ya kipindi cha miezi 29.Hata hivyo Watafiti kutoka Chuo...

Kutana na ‘mtu sanamu’ kutoka DRC

0
Mayanda Nzau, maarufu "Mutu Ekeko" (Mtu Sanamu), amejizolea umaarufu mkubwa katika Jiji la Kinshasa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kutoka na uwezo wake wa kujigeuza kuwa kama sanamu.Kijana huyu mwenye umri wa...