Harmonize na Rayvanny ni wanangu

0
"Mimi naishi na watu vizuri sana, binadamu ana mapungufu yake kwa hiyo hawa wasanii wote Rayvanny, Harmonize wote mimi nawaitaga wanangu,""Hata ilivyotoka chart ya Spotify niliandika Simba na wanae, hata itokee kitu gani mimi...

Diamond kufanya show kubwa Dar

0
Mwanamuziki wa Bongo Flava Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz ametangaza kufanya tamasha kubwa litakalofanyika kwa muda wa siku mbili.Amewaambia waandishi wa habari kuwa tamasha hilo litafanyika Aprili 26 na 27 mwaka huu katika Viwanja...

Mamelodi wamwinda Aziz Ki, mwenyewe afunguka

0
Miamba ya soka ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns wanahusishwa kuiwinda saini ya kiungo wa Yanga SC na raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki.Masandawana wanaonekana kuvutiwa na kiwango cha Ki, hasa katika michezo ya...

Simba yapigwa faini kisa ushirikina

0
Simba SC imetozwa faini ya shilingi Milioni moja kwa kosa la mashabiki na walinzi wake wa uwanjani kupanga njama na kufanikisha azma ya kuingia uwanjani na kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina katika mchezo.Mashabiki...

AL Ahly tunamwondoa – Ahmed Ally

0
Msemaji wa Timu ya Simba, Ahmed Ally, amewahimiza wanachama na wapenzi wa timu hiyo kuhakikisha wananunua tiketi zao mapema ili Machi 29, 2024 wajitokeze kwa wingi kwa Mkapa kushangalia timu yao ambayo amesema ina...

Filamu ya Oppenheimer yashinda tuzo 7

0
Filamu ya Oppenheimer imeshinda tuzo saba katika tuzo za 96 za Oscar zilizotolewa usiku wa kuamkia leo Machi 11, 2024 kwenye ukumbi wa Dolby Theatre uliopo Hollywood, Los Angeles nchini Marekani.Tuzo ambazo Oppenheimer imeshinda...

Cillian Murphy mwigizaji bora Oscars

0
Mwigizaji wa Ireland, Cillian Murphy ameshinda tuzo ya mwigizaji bora kupitia filamu ya Oppenheimer kwenye tuzo za 96 za Oscar zilizotolewa usiku wa kuamkia leo huko Los Angeles, California nchini Marekani.Oppenheimer ni filamu ya...

Dube awaaga Azam, afuta picha zote

0
Mwanamfalme, Prince Dube ametangaza rasmi kuondoka Azam FC akieleza kuwa miaka minne aliyowatumikia matajiri wa Dar es Salaam imebeba historia kubwa kwenye maisha yake ya soka."Nikielekea kuanza ukurasa mpya, ninaondoka nikiwa na mafunzo niliyoyapata...

Mashabiki wa Arsenal leo mnaamka saa ngapi?

0
Arsenal imeendelea kuonesha kuwa inalitaka taji la Ligi Kuu ya England msimu huu ambapo imeendelea kutoa kipigo kwa kila timu inayokutana nayo, tena kwa idadi kubwa ya magoli.Katika mchezo wake wa mwisho iliyocheza dhidi...

Tanzania yaifuata Algeria na matumaini ya kufuzu AFCON

0
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanaume, Taifa Stars, imeondoka nchini leo kuelekea Tunis, Tunisia kwa Kambi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Algeria.Mchezo huo utakaochezwa...