Huu ndio mpango wangu kuinyanyua Afrika

Kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameeleza majukumu ambayo atatekeleza iwapo atafanikiwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).Mambo hayo ni pamoja...

Boeing 737 yaanguka wakati ikipaa Senegal

Ndege aina ya Boeing 737-300 imeanguka wakati ikipaa nchini Senegal na kujeruhi watu 11, wanne kati yao vibaya.Ndege hiyo ya Air Senegal HC 301...