Rolls-Royce waja na gari la kifahari funika bovu!

Rolls-Royce imeingiza sokoni aina nyingine ya pili ya magari yake ya Cullinan (Cullinan Series II) ambayo ni mageuzi mapya na makubwa katika uundaji wa...

Daraja la mto Rau laanza kukarabatiwa

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro umeanza ukarabati wa daraja la Mto Rau lililoko Manispaa ya Moshi kufuatia kingo za daraja hilo...