Mtu mmoja huambukizwa UKIMWI kila baada ya dakika 2

0
Takwimu za UNAids zinaonesha kuwa mwaka 2021 mtu mmoja alifariki dunia kila dakika kutokana na magonjwa yanayohusiana na upungufu wa kinga mwilini (Aids).Taasisi hiyo imekadiria kuwa kila dakika mbili mwaka 2021, msichana au binti...

Vifo ajali ya Mtwara vyaongezeka

0
Mganga mkuu wa mkoa wa Mtwara Dkt. Mohamed Nyembea amethibitisha kuongezeka kwa vifo vya mwanafunzi wawili wa shule ya msingi ya King David, ambao walikuwa miongoni mwa majeruhi watano waliokuwa katika hali mbaya...

Dkt. Mpango ahimiza nguvu zaidi kwa watoto njiti

0
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wadau, taasisi za dini pamoja na wananchi kwa ujumla kulipa kipaumbele suala la kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati ili kukabiliana na changamoto ya vifo...

Biden akutwa na UVIKO-19

0
Rais Joe Biden wa Marekani amepimwa na kukutwa na virusi vya UVIKO-19, na hivi sasa amejitenga akiwa Ikulu.Biden mwenye umri wa miaka 79 ambaye inaelezwa amepata chanjo kamili dhidi ya UVIKO -19 na...

Homa ya Mgunda yagundulika Ruangwa

0
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema, upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua ugonjwa usiojulikana katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi umethibitisha ugonjwa huo ni Leptospirosis Field Fever, kwa kiswahili homa...

Daktari mbaroni kwa kumdhalilisha mjamzito

0
Daktari wa ganzi katika Hospitali ya Wanawake ya Vilar dos Teles, nchini Brazil anashikiliwa na polisi kwa kumdhalilisha kingono mwanamke aliyekuwa akijifungua hospitalini hapo.Giovanni Bezerra (32) anadaiwa kuwazidishia wagonjwa wake dawa ya usingizi, jambo...

Serikali na mpango mkakati wa kusimamia Ziwa Victoria

0
Serikali imesema itaendelea kushirikia na wataalam wa mazingira kutoka nchini India na maeneo mengine ya dunia kuhakikisha changamoto ya athari za mazingira hususani katika Ziwa Victoria zinapatiwa ufumbuzi wa kudumu kwa manufaa ya nchi.Hayo...

Hospitali ya Mpimbwe yapatiwa mashine ya Oxygen

0
Naibu Waziri, Wizara ya Sheria na Katiba, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kavuu lililopo Mkoani Katavi, Geophrey Pinda ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel (@dorismollelfoundation), Doris Mollel katika kukabidhi...

Hospitali Butiama yapatiwa mashine za oxygen

0
Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Butiama, Jumanne Sagini ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation, Doris Mollel katika kukabidhi mashine tatu za...