14 wafariki baada ya kunywa pombe

0
Watu 14 wamefariki dunia nchini Uganda dunia baada ya kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu.Polisi nchini Uganda inawashikilia watu wanne kufuatia vifo hivyo, huku kiwanda kinachotengenezapombe hiyo kikifungwa hadi hapo uchunguzi utakapokamilika.Baadhi ya watu...

Ampa ujauzito binti yake ili asiolewe

0
Yeremia Chidaka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiteto mkoani Manyara, akituhumiwa kumpa ujauzito mwanae wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16.Mshtakiwa amekiri kosa na kusema halikuwa kusudio lake kufanya hivyo na...

Daktari matatani kwa kuweka sumu kwenye dripu

0
Daktari mmoja huko Texas nchini Marekani anadaiwa kuingiza sumu kwenye mifuko ya dawa 'dripu' na kusababisha kifo cha daktari mwenzake na matatizo ya moyo kwa wagonjwa 11.Daktari huyo Raynaldo Rivera Ortiz Jr (59) aliyebobea...

Afya ya Malkia Elizabeth II yadhoofika

0
Wanafamilia wa karibu wa Malkia Elizabeth II wamekusanyika kwenye Kasri la Balmoral nchini Scotland baada ya afya ya Malkia huyo kudhoofika na kupelekea madaktari wa Malkia kupendekeza apewe usimamizi wa karibu wa matibabu.“Kufuatia...

Hivyo virutubisho kwenye mchele viwekwe hapa huku tunaona – Bashe

0
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametolea ufafanuzi juu ya mjadala ulioibuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu msaada wa chakula kwa wanafunzi wa Tanzania kutoka Marekani.Bashe amesema kuwa ipo asasi isiyo ya kiserikali (NGO) inayofanya...

Dkt. Kijaji : Zalisheni bidhaa za kuuza katika soko la AfCFTA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amevitaka viwanda vyote nchini kutengeneza bidhaa zenye ubora na kwa gharama nafuu ili ziweze kuingia katika soko lililopo kwenye Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA).Waziri Kijaji...

Dkt. Mwinyi : Tutahakikisha Wananchi wanapata huduma bora za afya

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amesema malengo ya Serikali katika sekta ya afya ni kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora za afya.Dkt.Mwinyi ameyasema hayo wakati akifungua kituo cha...

Ujenzi wa Vituo vya Afya Korogwe Wasuasua

0
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tanga kimeeleza kutoridhirishwa na kasi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata za Mnyuzi na Kerenge vilivyopo wilayani Korogwe ambavyo licha ya Serikali kutoa fedha, ujenzi bado...

Pizza ya kiitaliano lenye vionjo vya Zanzibar.

0
Kutana na Pizza ya kiitaliano yenye vionjo vya Zanzibar.Pablo Palumbo ni mpishi mashuhuri wa piza Jijini Zanzibar, anasema kuwa Piza hizi zina vionjo vya kiitaliano vinavyofahamika kama “Basilico” na vionjo vya kizanzibari ambavyo...

YOTE KUHUSU KICHAA CHA MBWA “Huduma za msingi zizingatiwe”

0
Septemba 28 kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa.Kwa mwaka huu wa 2022 kauli mbiu ya maadhimisho hayo inasema ‘kichaa cha mbwa: afya moja, vifo sifuri’, ambayo inaangazia uhusiano...