Bunge lamkana Mbowe wabunge kuongezwa mishahara

0
Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwamba serikali imeongeza mishahara ya wabunge.Taarifa iliyotolewa na Kitengo...

Simiyu yanufaika Miaka Mitatu ya Rais Samia

0
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeendelea kuufungua Mkoa wa Simiyu kwa kutekeleza miradi mikubwa mitano ya kitaifa ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja.Meneja wa TANROADS mkoani Simiyu, Boniface Mkumbo ameyasema...

Samia aandika historia huduma za afya

0
Miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia kwenye sekta ya afya ambapo tangu uhuru Tanzania ilikuwa na mashine za MRI saba, lakini ndani ya miaka mitatu amenunua mashine sita na hivyo kuifanya...

Mti wa Dkt. Mpango Same

0
Leo ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Upandaji Miti Kitaifa, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amepanda mti wa kumbukumbu katika Shule ya sekondari Same iliyopo mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu...

Miradi ya maji inachangia kukuza uchumi

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema serikali inawekeza katika Sekta ya Maji ili kukidhi mahitaji ya wananchi, hatua ambayo ina mchango katika kukuza uchumi.Amesema hayo wakati akifungua Mkutano...

Ataka Mil 150 akidai kudhalilishwa na diwani

0
Diwani wa kata ya Chanika wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, Adballa Chihumpu amefikishwa katika mahakama ya wilaya hiyo akidaiwa kutoa maneno ya udhalilishaji dhidi ya mwekezaji Stanley Liakindi anayetuhumiwa kuchukua eneo la wazi la...

Zanzibar yaanza kutoa vitalu uchimbaji mafuta, gesi

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amewahakikishia wawekezaji wote wa sekta ya mafuta na gesi mazingira mazuri ya uwekezaji kwa manufaa ya wote.Dkt.Mwinyi amesema hayo alipokuwa akizindua duru...

Kiwanda chaunganisha simu elfu 40 Arusha

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametembelea kiwanda cha TANZTECH kilichppo jijini Arusha kinachounganisha vifaa vya kielektroniki kama simu janja, vishikwambi na kompyutaKatika ziara yake Waziri Nape ameupongeza uongozi wa...

Changamoto ya barabara Geita yapata jawabu

0
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANRODS) imekusudia kutekeleza miradi saba ya kimkakati ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami mkoani Geita, baada ya kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kukamilika.Meneja...

CCM : Tunajivunia uongozi wa Rais Samia

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Emmanuel Nchimbi amesema Watanzania wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi aliouonesha Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu ya uongozi wake, ukijidhihirisha kwa namna anavyoiongoza nchi.Akizungumza...