Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)

Listen TBC Live
      TBC Taifa
      TBC FM
  • 0
  • 1
  • 2
prev
next

Wakuu wa Wilaya Mwanza watakiwa kuzingatia hofu ya

News image

Mkuu wa mkoa wa mwanza injinia Evarist Ndikilo amewaapisha wakuu wapya wa wilaya za mkoa huo na kuwataka watekeleze majukumu yao huku wakizingatia hofu ya Mungu. Injinia Ndikilo amewaelekeza wakuu hao saba wa wilaya kuwa katika kutekeleza majukumu yao, utatuzi wa kero za wananchi na kujituma ...

Read more

Mwanri awaagiza madiwani kuwa wakali kusimamia mat

News image

Naibu waziri wa nchi  ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI  Aggrey Mwanri amewaagiza madiwani nchini kuwa wakali  katika kusimamia matumizi ya pesa za halmashauri zao na kila baada ya miezi mitatu wadai taarifa ya mkakuguzi wa ndani. Amesema madiwani wakishirikiana na watendaji  ...

Read more

Dk. Shein: Mfumuko wa bei za vyakula uko chini Zan

News image

Rais  wa Zanzibar  na Mwenyekiti  wa  Baraza  la Mapinduzi  DR. Ali Mohamed Shein  amesema licha   yakuweko mfumko  mkubwa wa bei  za vyakula  katika  nchi  mbali  mbali, bado Zanzibar  kuna unafuu ikilinganishwa ...

Read more

RC Dodoma awaasa wakuu wa wilaya kushirikiana na w

News image

 Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi amewaapisha Wakuu saba wa wilaya mkoani kwake ikiwemo wilaya mpya ya Chemba na kuwataka wajitahidi kuonekana kwa wananchi ili kushirikiana kwa pamoja kutatua kero zao. Akizungumza baada ya kiapo hicho, Dr. Nchimbi amesema kuwa mkoa wake unataraji...

Read more

Medeye apiga marufku uwekezaji kinyemela

News image

Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Goodluck Medeye amepiga marufuku raia yeyote kutoka nje ya nchi kupewa ardhi ya kuwekeza bila ya idhini ya mkuu wa mkoa na Kituo cha Uwekezaji nchini.  Medeye ametoa agizo hilo mjini Mbeya wakati wa mkutano na maafisa ardhi, mipango miji ...

Read more

Serikali kuwapatia Wahadzabe nyama ili washiriki S

News image

Serikali mkoani Manyara inaandaa utaratibu wa kuwapatia watu wa jamii ya wawindaji wa kabila la Wahadzabe, wanaoishi katika bonde la Yaedachini, wilayani Mbulu, kitoweo cha nyama inayotokana na wanyamapori, ili waweze kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kuf...

Read more

Wakuu wa Wilaya Mwanza watakiwa kuzingatia hofu ya Mungu

Wakuu wa Wilaya Mwanza watakiwa kuzingatia hofu ya Mungu Mkuu wa mkoa wa mwanza injinia Evarist Ndikilo amewaapisha wakuu wapya wa wilaya za mkoa huo na kuwataka watekeleze majukumu yao huku wakizingatia hofu ya Mungu. I...
More:

Wananchi Zambia wasikitishwa na serikali kutotoa taarifa za ugonjwa wa Satta

Wananchi Zambia wasikitishwa na serikali kutotoa taarifa za ugonjwa wa Satta Wananchi wa Zambia wamesikitishwa na kitendo cha serikali  ya Zambia   kushindwa kutoa  taarifa kwa umma na kukaa kimya  juu ya ugonjwa wa Rais &nb...
More:

Ugumu wa maisha kwa wanawake ni matoeko ya ukosefu wa mitaji

Ugumu wa maisha kwa wanawake ni matoeko ya ukosefu wa mitaji Kukosekana kwa mitaji ya wanawake waishio maeneo ya Vijijini,imekuwa chanzo cha wanawake wengi kuishi maisha duni yanayokwenda kinyume na mapambano dhidi ya adui umask...
More:

Utafiti TAMWA wabaini chanzo cha wanafunzi shule za kata kufeli, kupata mimba

Utafiti TAMWA wabaini chanzo cha wanafunzi shule za kata kufeli, kupata mimba Utafiti TAMWA wabaini chanzo cha wanafunzi shule za kata kufeli, kupata mimba Wakuu wapya wa wilaya wanapaswa kuandaa mipango mkakati ya kuondoa matatizo yanayocha...
More:

Pakistan huenda ikaondoa kinga ya Rais kutoshtakiwa

Pakistan huenda ikaondoa kinga ya Rais kutoshtakiwa Mahakama kuu nchini Pakistan imesema itaangalia upya kinga ya kutoshitakiwa aliyowekewa rais wa nchi hiyo katika wiki mbili zijazo, itakapokuwa ikisiliza kesi ya kudha...
More:

Town Stars yanyakua kombe la Ester

Town Stars yanyakua kombe la Ester Timu ya Town Star ya wilaya ya Bunda imejinyakulia kitita cha shilingi laki tano na kikombe baada ya kuichapa timu ya Amani kwa penati 4-2 baada ya mchezo huo wa faina...
More:
Banner