Wananchi Kilimanjaro wasisitiza kuwa chanjo ni salama

0
Na Sauda Shimbo,KILIMANJAROKaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mtanda ameongoza wananchi wa mkoa huo kupata chanjo ya UVIKO-19 Agosti 3, 2021.Akizungumza wakati akizindua zoezi la kuanza kwa chanjo hiyo kimkoa katika Kituo cha...

Wapo Bungeni

0
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wamevuliwa uanachama na chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya Baraza Kuu la chama hicho kutupilia mbali rufaa yao...

Bilioni 99 kumaliza kero ya maji Mbeya

0
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa baadhi ya maeneo mkoani humo inakwenda kumalizika, baada ya serikali kutangaza utekelezaji rasmi wa mradi wa maji wa...

Dkt. Samia ataka uhuru wa kitaaluma

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ipo haja ya kuwepo na uhuru wa kitaaluma, kwani elimu na maarifa vinabadilika kwa kila zama na kwamba maendeleo hutokea pale penye uhuru wa kitaaluma.Dkt. Samia ameyasema...

Ujumbe wa ADC watembelea TBC

0
Ujumbe wa chama Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) ukiongozwa na Mkurugenzi wa Fedha wa chama hicho Taifa Hassan Mvungi, umetembelea ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), zilizopo Mikocheni mkoani Dar...

Rais Samia: Kiapo changu ni cha majonzi

0
Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kiapo alichokula hii leo ni tofauti na viapo vingine alivyowahi kuvifanya katika maisha yake.Akizungumza Ikulu mkoani Dar es salaam mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...

UPATIKANAJI WA VIFARANGA VYA SAMAKI NA CHAKULA BORA WAWEKEWA MIKAKATI

0
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka mikakati ya upatikanaji wa vifaranga vingi vya samaki pamoja na chakula bora cha samaki sambamba na kuendelea kutoa elimu ya ufugaji ili wananchi waweze kufuga samaki kwa tija.Akizungumza kwenye maonesho ya wakulima,...

Vijana 170 waanza mafunzo mradi wa EACOP

0
Kamishna wa mafuta na gesi nchini Michael Mjija amesema,mradi wa ujenzi wa bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, Tanzania upo na unaendelea kwa kufuata taratibu za ujenzi wa...

WAZIRI NAPE:TEHAMA ISIHARIBU UTAMADUNI WETU

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amewataka Watanzania kutumia mitandao ya kijamii kuondoa chuki na si kudhalilishana, jambo ambalo sio utamaduni wa Mtanzania.Waziri Nape ameyasema hayo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro...

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza afariki dunia

0
Rais wa Pierre Nkurunziza wa Burundi amefariki dunia kutokana na tatizo la mshtuko wa moyo akiwa na umri wa miaka 55.Kifo cha Rais Nkurunziza kimethibitishwa na serikali ya Burundi kupitia vyombo mbalimbali vya habari...