Upokeaji maoni nguzo kuu ya utawala bora wa taasisi

0
Riaz Abedi kutoka Idara ya Elimu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) amesisitiza kwamba mfumo wa kupokea malalamiko shuleni ni kigenzo muhimu cha utekelezaji wa mradi wa Shule Salama...

TBC yashiriki upandaji miti 500 Mwanza

0
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kushirikiana na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) wamepanda miti 500 katika Shule ya Sekondari Bulale iliyopo katika Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza.Akizungumza wakati wa zoezi la kupanda miti...

Kero za muungano zinaisha

0
Taarifa na Happyness HansWaziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Dkt. Suleiman Jafo, amesema kero chache takribani nne ambazo zimebaki kwenye muungano unaofikisha miaka 60, zinaendelea kupatiwa ufumbuzi.Waziri Jafo ameyasema...

Muungano umekuwa chachu ya amani, maendeleo

0
Taarifa na Happyness HansWaziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Suleiman Jafo amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umekuwa chachu katika kuleta amani, utulivu, mshikamano na maendeleo kutokana...

Ulinzi na usalama kwa watoto hauridhishi

0
Mkufunzi kutoka Chuo cha Ualimu Mpwapwa, Juma Kizija amesema hali ya ulinzi na usalama wa wanafunzi wa shule za awali, msingi na Sekondari nchini sio ya kuridhisha sana kwa kuwa bado vitendo vya unyanyasaji...

Biteko mgeni rasmi sherehe Bomba la Mafuta

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ni mgeni rasmi kwenye sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kuweka mifumo ya kupasha na kutunza joto kwenye Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...

Majaliwa: Utoaji elimu bora ni kipaumbele cha nchi

0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa sekta ya elimu ni wakala muhimu wa mabadiliko katika jamii kiuchumi, kiteknolojia na kiutamaduni, mambo ambayo yanachochea maendeleo ya nchi na hivyo utoaji wa elimu bora kwa Watanzania...

Mradi wa SEQUIP kuboresha elimu

0
Serikali imedhamiria kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa miundombinu kwenye shule na vyuo, huku ikiwajengea Walimu uwezo wa kiutendaji kupitia mafunzo yanayoendelea kutolewa kupitia mradi wa kuimarisha Shule...

Simba yapigwa faini kisa ushirikina

0
Simba SC imetozwa faini ya shilingi Milioni moja kwa kosa la mashabiki na walinzi wake wa uwanjani kupanga njama na kufanikisha azma ya kuingia uwanjani na kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina katika mchezo.Mashabiki...

VodaBima Kidijitali Ni Chap,Ni Nafuu!

0
𝙏𝙐𝙈𝙀𝙆𝙐𝘽𝘼𝙇𝙄: 𝗕𝗶𝗺𝗮 𝗞𝗶𝗱𝗶𝗴𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 inawezekana 💪🏾 Jipatie Bima yoyote ile iwe ya Afya, Chombo cha moto au maisha ukiwa popote na wakati wowote kupitia 𝗩𝗼𝗱𝗮𝗕𝗶𝗺𝗮. Tumia 𝗠-𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗔𝗽𝗽 au piga 15000# >Huduma za Kifedha>VodaBima #Vodabimakidigitali...