Miaka 71 ya Wakunga, wawakumbuka wagonjwa

0
Watumishi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania leo Machi 19, 2024 wameadhimisha miaka 71 tangu kuazishwa kwa baraza hilo kwa kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi Milioni tano katika Kituo cha Afya...

Kamati yatoa angalizo gharama za umeme

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua utekelezaji wa miradi ya usambazaji umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) mkoani Pwani.Akizungumza mara baada ya ukaguzi huo Mwenyekiti wa...

Huduma za Kibingwa Zimeimarishwa

0
Takwimu za Wizara ya Afya zinaonesha kuwa ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, sekta ya afya imepata msukumo mkubwa ambapo miongoni mwa mengi yaliyofanyika ni pamoja na ununuzi na...

Ukuaji wa sekta ya Utalii – Mitatu ya Mama

0
Miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu amefanya kazi kubwa ya kukuza utalii hasa kuanzia kurekodi filamu ya Tanzania: The Royal Tour, kutangaza fursa za kitalii katika ziara zake za kimataifa pamoja na...

Wengine 463 wahama Hifadhi ya Ngorongoro

0
Wananchi 463 wamehama kwa hiari yao kutoka ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera na maeneo mengine yaliyotengwa.Hafla ya kuwaaga wananchi hao imefanyika leo Machi 19, 2024 na kuongozwa na Mkuu wa...

Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka mitatu madarakani.

0
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), tunatoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka mitatu madarakani. Kwa hakika tumeshuhudia uongozi bora katika sekta zote. Mwenye macho...

Putin ashinda urais Urusi

0
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais uliofanyika jana nchini Urusi yanaonesha Vladimir Putin anayeshikilia kiti hicho kwa sasa anaongoza.Kwa mujibu ya matokeo hayo ya awali, Putin amepata asilimia 87.8 ya kura zote zilizopigwa,...

Mchele kutoka Marekani ni salama

0
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema msaada wa chakula uliotolewa na wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi za Jumuiya ya Kimataifa katika baadhi ya shule za mkoa wa Dodoma ulifuata taratibu...

Hivyo virutubisho kwenye mchele viwekwe hapa huku tunaona – Bashe

0
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametolea ufafanuzi juu ya mjadala ulioibuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu msaada wa chakula kwa wanafunzi wa Tanzania kutoka Marekani.Bashe amesema kuwa ipo asasi isiyo ya kiserikali (NGO) inayofanya...

Neema yashushwa vijiji vinavyozunguka Ruaha

0
Zaidi shilingi Bilioni mbili zimetolewa kwenye vijiji 16 kati ya 84 vinavyozunguka Hifadhi ya Taifa ya Ruaha ili kubadilisha tabia za kuvamia hifadhi pamoja na kuwafanya wanawake kuacha maisha ya utegemezi na kuwa wazalishaji...