Mikoa hii wana ndugu wa asili Zanzibar

0
Rais Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa usiku huu kupitia vyombo vya habari amesema undugu wa kihistoria ni chanzo cha Muungano kudumu kwa kuwa watu wa Tanganyika na Zanzibar kiasili ni wa jamii moja.Akilihutubia Taifa...

Septemba JWTZ itatimiza miaka 60

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Muungano umewezesha kulinda Uhuru na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lakini pia kupitia umoja wa Watanzania na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mipaka ya nchi imelindwa na...

Ajenda ya kutokomeza Malaria iwe ya kudumu

0
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amezitaka Kamati za Usalama kuona umuhimu wa kuifanya ajenda ya kutokomeza Malaria iwe ya kudumu kwenye vikao vya maamuzi.Dkt. Mollel ameyasema hayo akiwa amemwakilisha Waziri wa Afya,...

Simamieni fidia kwa wafanyakazi wenu

0
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Dkt. John Mduma amesema kuna umuhimu kwa Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kuhakikisha fidia stahiki inatolewa kwa wakati pindi wafanyakazi walio chini yao wanapoumia,...

Wizara yapania kuboresha hali za wafanyakazi

0
Wizara ya Maliasili na Utalii imepania kuendeleza hali bora za wafanyakazi wakati huu ambao sekta ya Maliasili na Utalii ikiendelea kuwa na nchango mkubwa katika uchumi kutokana na kuingiza fedha za kigeni kwa asilimia...

Moshi yazindua chanjo dhidi ya saratani

0
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro imezindua zoezi la utoaji chanjo dhidi saratani ya mlango wa shingo ya kizazi kwa wasichana wenye umri wa kuanzia miaka tisa hadi 14.Katika zoezi hilo lililozinduliwa leo...

Bashungwa : Nileteeni majina tuwachukulie hatua

0
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia...

Shule zilizoathiriwa na mafuriko kujengwa

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Carolyne Nombo, wametembelea baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mafuriko hususani kujionea hali ya shule mbalimbali zilivyo.Kutokana...

Msigwa msibani kwa Gardner

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa ni miongoni mwa viongozi mbalimbali waliofika katika viwanja vya Leaders Club mkoani Dar es Salaam, kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mtangazaji...

Tumekuja kuliombea Taifa

0
Maelfu ya Watanzania wamefika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma kwa ajili ya kushiriki kwenye maombi na Dua ya kuliombea Taifa katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano.