Kayumba: Sikupewa zawadi yote BSS

0
Mwanamuziki Kayumba amesema kuwa hakupata stahiki zake zote baada ya kushinda shindano la kusaka vipaji (Bongo Star Search) mwaka 2015.Akizungumza ndani ya Jaramba Serebuka, Kayumba ameongeza kuwa, changamoto kubwa ndani ya shindano hilo...

Wasafi FM yafungiwa kwa siku saba

0
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha utoaji huduma za utangazaji kwa Wasafi FM kwa muda wa siku saba kuanzia Septemba 12 hadi Septemba 18 mwaka huu.Uamuzi huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA,...

Maandalizi ya tamasha la Wizkid London yapamba moto

0
Msanii wa Muziki kutoka nchini Nigeria, - Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kwa jina la kisanii Wizkid ama Star Boy, anaendelea kung'ara kwenye chati za Billboard kupitia nyimbo zake mbalimbali.Kwa sasa Wizkid...

Mondi na Zari ndani ya series moja

0
Netflix wako njiani kuzindua 'series' yao ya kwanza ya kiafrika ihusuyo maisha ya uhalisia ya washiriki wake iitwayo Young, Famous & African.Series hiyo itawajumuisha watu maarufu kutoka Afrika wakiwemo Khanyi Mbau, Nadia Nakai, Annie...

Watu maarufu waliopata watoto 2021

0
Hawa ni miongoni mwa watu maarufu waliopata watoto mwaka 2021,M-tag mtu yoyote uliyekaribu naye aliye pata baraka ya mtoto au watoto 2021 ikiwa ni ishara ya kumpa hongera.

Diamond kusikika kwenye album mpya ya Alicia Keys

0
Mwamuziki kutoka Marekani Alicia Keys @aliciakeys , ameachia orodha ya nyimbo ‘Track List’ ambazo zipo katika album yake mpya aliyoipa jina la "ALICIA"Album hiyo ambayo itakuwa album ya 13 kutoka kwa mwanadada huyo na album yake...

Jennifer Lopez achumbiwa tena na Ben Affleck

0
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez (52) na Ben Affeck (49) wamechumbiana tena baada ya kurejesha uhusiano wao mnamo 2021.JLo alitangaza uchumba huo Ijumaa katika video fupi kupitia jarida la mashabiki wake liitwalo ‘On The...

Mwigizaji Lance Reddick afariki dunia

0
Lance Reddick, mwigizaji maarufu katika filamu za The Wire na John Wick amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60.Nyota huyo ambaye pia alikuwa mwanamuziki alifariki kifo cha asili mapema Ijumaa nyumbani kwake jijini...