Yanga bingwa ngao ya Jamii

0
Klabu ya soka ya Yanga imeibuka bingwa wa ngao ya jamii baada ya kuifunga Klabu ya soka Simba bao 1-0.Bao lililo amua mchezo huo limefungwa dakika ya 12 na mchezaji wa kimataifa wa yanga...

Mwimbaji John Prine afariki kwa Corona

0
Mtunzi na mwimbaji mkongwe wa nyimbo kutoka nchini Marekani John Prine amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 73.Msemaji wa Prine amethibitisha kifo cha nyota huyo kwa niaba ya familia yake, ambapo ameeleza...

Wamiliki wa Seattle Sounder kuinua michezo Tanzania

0
Kampuni ya kimataifa ya Vulcan Inc. kupitia kampuni yake tanzu ya Vulcan Arts and Intertainment imeeleza utayari wake wa kusaidiana na serikali ya Tanzania katika kuinua sanaa na michezo.Hayo yameelezwa na mkurugenzi mwandamizi...

Video: Diamond akimueleza Dkt. Magufuli alivyomtoa Harmonize

0
Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema kuwa katika miaka mitano ya uongozi wa Rais Dkt. Magufuli ameweza kufanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuwasaidia vijana wenzake, Harmonize na Rayvanny pamoja na kufungua kituo cha redio...