Nguli wa muziki Ismail Michuzi afariki dunia

0
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ismail Issa Michuzi (61) amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo.Ismail alikuwa mmoja wa waanzilishi na...

Washiriki wa Miss Tanzania 2020 wabisha hodi kwa RC Kunenge

0
Washiriki 20 wa shindano la Miss Tanzania 2020 leo wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha, kumsalimia na kupata baraka za shindano hilo linalotaraji kufanyika...

Tamthilia ya Vuta N’ Kuvute kuzinduliwa Canada

0
Filamu ndefu ya kihistoria ya miaka ya 50, Vuta N’Kuvute (Tug of War), iliyosadifu riwaya ya Adam Shafi itazinduliwa rasmi kwa mara ya kwanza kimataifa Septemba mwaka huu kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu...

Tanzania yang’ara Tuzo za AFRIMMA 2021

0
Mwanamuziki wa Bongo Flava Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameibuka kidedea kwa kuwa Mwanamuziki bora wa kiume kwa Afrika Mashariki katika tuzo za AFRIMMA 2021.Katika kinyang’anyiro hicho Diamond alikuwa akishindanishwa na Ali Kiba kutoka...

Kizz Daniel akamatwa na polisi, tamko latolewa

0
Mwanamuziki Kizz Daniel aliyejizolea umaarufu kupitia wimbo wa 'Buga' anashikiliwa na polisi Tanzania baada ya kushindwa kutumbuiza katika tamasha la 'Summer Amplified' hapo jana Agosti 7 jijini Dar es Salaam.Inasemekana...

Mirabaha kwa wasanii yanukia

0
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt . Faustine Ndugulile pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa wamekutana katika kikao cha pamoja kujadili namna Wizara wanazozisimamia zitakavyotekeleza suala la...

Waziri Bashungwa amjulia hali King Kikii

0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amewahimiza Wasanii nchini kuhakikisha  wanamiliki bima za afya zitakazowasaidia wanapokua wagonjwa.Waziri Bashungwa ametoa rai hiyo mkoani Dar es salaam alipomtembelea nyumbani kwake msanii mkongwe wa muziki wa...

Jux kukiwasha Kigoma

0
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya katika miondoko ya RnB, Juma Musa almaarufu Jux anatarajia kufanya show ya muziki mkoani Kigoma.Jux ambaye anatamba na nyimbo zake maarufu ukiwemo Uzuri Wako, Nitasubiri ,...

China kupiga stop harusi za kifahari

0
China ina mpango wa kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari ambazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya hivi karibuni.Taarifa iliyotolewa na serikali ya China imesema kuwa harusi nyingi zinazofanyika nchini humo hivi sasa zimekua sio...