Jafo ataka Tamasha la JAMAFEST litumike kuuza Kiswahili

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo, ametembelea Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) linaloendelea jijini Dar es salaam.Akiwa katika Tamasha...

Wabunifu Watanzania washauriwa kuhalalisha kazi zao

0
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka wabunifu wa Tanzania kuhalalisha kazi zao za mitindo ili kupata furusa mbalimbali zinazopita kwenye wizara kutokana na kujulikana na kutambulika na serekali...

Benzema aipa ushindi Real Madrid

0
Mshambuliaji mahiri wa Klabu ya Real Madrid Karim Benzema ameibuka kinara katika mchezo wa ligi ya Uhispania maarufu kama La Liga baada ya kufunga mabao 2 ya ushindi dhidi ya Athletic Bilbao.Katika mchezo huo,...

Swahili Fashion Week kufanyika Disemba

0
Maonesho ya mavazi ya Swahili Fashion Week yanatarajiwa kufanyika Disemba Sita, Saba na Nane mwaka huu katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.Maonesho hayo yanafanyika kwa mara ya 12 ambapo pia...

Wimbo wa Mwanza wapigwa stop na BASATA

0
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA ) limeufungia rasmi wimbo unaojulikana kama Mwanza ulioimbwa na msanii wa lebo ya Wasafi, -Raymond Mwakyusa maarufu kama Rayvanny na kumshirikisha mwanamuziki mwenzake Naseen Abdul maarufu kama Diamond...

Idris Sultan afikishwa mahakamani kwa kosa la mtandao

0
Msanii Idris Sultan na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila leseni ya Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Idris na wenzake...

Makamu wa Rais wa Marekani atoa orodha ya wasanii wa Tanzania anaowasikiliza

0
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ametoa orodha ya nyimbo 25 anazosikiliza wakati akiwa barani Afrika kwenye ziara nchini Ghana, Tanzania na Zambia.Katika orodha hiyo yenye mahadhi ya nyimbo zenye jumbe mbalimbali Kamala...

Waziri Bashungwa amjulia hali King Kikii

0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amewahimiza Wasanii nchini kuhakikisha  wanamiliki bima za afya zitakazowasaidia wanapokua wagonjwa.Waziri Bashungwa ametoa rai hiyo mkoani Dar es salaam alipomtembelea nyumbani kwake msanii mkongwe wa muziki wa...

Mahakama yatengua hukumu ya AY na Mwana FA

0
Mahakama Kuu imetengua hukumu iliyoamuru wanamuziki Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) na Ambwene Yesaya (AY), kulipwa Shilingi Bilioni 2.1 na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo baada ya kampuni hiyo kukiuka sheria za hakimiliki.Jaji...