Kombe la Dunia kupita Tanzania

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema kutokana na kuendelea kufanya vizuri, Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi nane Afrika ambazo kombe la dunia litapita.Mchengerwa amesema hayo leo mkoani Dar es Salaam na...

Michezo ni afya na fursa ya ajira

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani, ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa mwilini.“Kama mnavyofahamu, michezo ni zaidi ya afya na burudani lakini leo tunathibitisha kuwa baada...

Liverpool dhidi ya Real Madrid fainali Uefa

0
Majogoo ya Jiji, Liverpool waliotangulia mapema katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya baada ya kuitandika Villareal kwa jumla ya mabao 5 kwa 2 katika michezo miwili iliyopigwa nyumbani na ugenini watacheza na miamba...

Kocha wa Manchester City ajitapa kunyakua ubingwa wa England

0
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kikosi chake lazima kikubali kuwa wapinzani wao kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya England, Liverpool huenda ndiyo timu bora kwa sasa duniani. Mabingwa hao watetezi...

Mapokezi makubwa kwa Tunisia Qatar

0
Timu ya Taifa ya Tunisia imepata mapokezi makubwa ilipowasili katika mji mkuu wa Qatar, Doha tayari kwa michuano ya Kombe la FIFA la Dunia inayotarajiwa kurindima kuanzia Jumapili wiki hii.Tunisia ambayo imepangwa kundi D...

Azam yaibuka na ushindi mechi dhidi ya TBC

0
Azam Media FC imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya TBC Warriors FC katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa Shule ya Sheria (Law School of Tanzania) wilayani Ubungo mkoani Dar es...

Hazard afikiria kuondoka Stamford Bridge

0
Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, -Eden Hazard amesema kuwa anafikiri mchezo wa fainali ya michuano ya Yuropa dhidi ya Arsenal ndiyo mchezo wake wa mwisho kuitumikia klabu hiyo.Hazard aliyehudumu Stamford Bridge kwa muda wa miaka saba  amesema kuwa,   anadhani...

Man City yapigwa nyundo miaka miwili

0
Klabu ya soka Manchester City imefungiwa kwa miaka miwili kushiriki mashindano ya UEFA baada ya kuvunja moja ya kanuni za usajili inayotaka kuzingatia matumizi ya kifedha katika masuala ya usajili yaani Financial Fair PlayAdhabu...

Jonesia Rukyaa aula CAF

0
Kamati ya waamuzi ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) imetaja majina ya waamuzi 29 wakiwemo watatu wa kike watakaochezesha fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 zitakazofanyika hapa...