Mashindano ya Gofu Afrika kufanyikia Accra

0
Timu ya Taifa ya mchezo wa gofu imeelekea nchini Ghana kushiriki mashindano ya Afrika kwa mchezo huo huku ikisema kuwa ipo tayari kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.Akikabidhi bendera ya taifa kwa timu hiyo, Kaimu...

Kipchoge aweka rekodi Marathon

0
Eliud Kipchoge amekuwa mtu wa kwanza katika historia ya mbio za marathon, kukimbia Kilomita 42 kwa muda wa chini ya saa mbili.Kipchoge ambaye ni Mwanariadha kutoka nchini Kenya, amekimbia Kilomita 42.2 katika muda wa...

HESABU: Liverpool kutwaa ubingwa mapema Machi 21

0
Zikiwa imebaki michezo 13 Ligi Kuu ya England kumalizikia, mashabiki wengi wa soka wanaamini kuwa Liverpool itatwaa ubingwa mwaka kuu kutokana na kuwa katika kiwango cha juu. Licha ya kuwa wengi wanaamini klabu hiyo...