Azam FC yatupwa nje Mapinduzi

0
Singida Big Stars wanaipiga Azam FC magoli 4-1 na kutinga fainali ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2022.Singida BS sasa wanasubiri mshindi kati ya Mlandege na Namungo FC, mchezo utakaopigwa kesho.

Everton mbioni kumtangaza mrithi wa Lampard

0
Sean Dyche anatarajiwa kuwaa mikoba ya kuiona klabu ya Everton ambayo hivi karibuni imemfukuza kazi Frank Lampard kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo.Dyche na Marcelo Bielsa ambaye amewahi kuifundisha Leeds United ndio waliokuwa...

Dkt. Mpango ateta na Tanzanite Queens

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 04 Februari 2022 akiwa nchini Ethiopia, amewatembelea na kufanya mazungumzo na wachezaji na viongozi wa timu ya taifa ya wanawake...

Ahmed Ally Msemaji mpya wa Simba

0
Klabu ya soka ya Simba imemtangaza aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha Runinga cha Azam Tv, Ahmed Ally kama Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo kuanzia leo Januari 3,2022.Simba kupitia kurasa rasmi za...

Simba yatinga hatua ya 16 bora ASFC

0
Wekundu wa Msimbazi Simba imefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Azam sports.Simba imefanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuitandika Afrikan Lyon mabao 3 kwa bila katika mchezo ulipigwa kwenye...

Manchester United waibuka na Ushindi wa 3 – 1 Ugenini

0
Manchester United imeondoka na ushindi wa Mabao 3 kwa Moja dhidi ya Norwich city ugenini Mabao ya Manchester United yakifungwa na McTominay, Rashford na Martial huku lile bao la wenyeji Norwich City...

FIFA yataka utaratibu wa kuandaa AFCON ubadilishwe

0
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) amewasihi viongozi wa soka Afrika kubadili mfumo wa uandaaji wa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zichezwe kila baada ya miaka minne badala ya utaratibu...

Viwango vya ubora vya FIFA kwa timu za wanaume

0
Michuani ya AFCON iliyomalizika mapema mwezi huu imekuwa na mchango mkubwa kwa baadhi ya timu kupanda katika viwango vya FIFA kutokana na ubora wa timu hizo kwenye mashindano hayo.Nigeria ambayo ilifika hatua ya fainali...

Majaliwa ashiriki mbio za Tulia Marathon

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Tulia Trust. Mbio hizo zimeanzia na kuishia kwenye uwanja...