Muhimbili yapanua huduma kwa wanachama wa NHIF

0
Kufuatia baadhi ya hospitali kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia Machi 1, 2024, uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja na mpango wa dharura wa...

Bilioni moja wana unene hatarishi duniani – utafiti

0
Zaidi ya watu bilioni moja wanaishi na unene unaosababisha uzito uliokithiri duniani kote. Hii inahusisha takribani watu wazima milioni 880 na watoto milioni 159, utafiti wa karibuni wa kimataifa unaonesha.Kwa mujibu wa utafiti huo,...

Majeruhi ajali ya Arusha kutibiwa bila malipo

0
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza majeruhi wote wa ajali iliyohusisha magari manne katika eneo la Ngaramtoni mkoani Arusha waliolazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa ya...

Mloganzila yaingiza bilioni 8 kwa tiba urembo

0
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imezalisha shilingi Bilioni 8 kwa kufanya tiba urembo ambapo pia wameboresha maeneo mengi ya huduma ikiwemo ununuzi wa vifaa bora na vya...

Khalfan aanza kupatiwa matibabu

0
Siku moja baada ya TBC Digital kuonesha picha ya video ikimuonesha mtoto Khalfan Gideon wa mkoani Kigoma akiomba msaada wa matibabu kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Rais kutoa maelekezo kwa Wasaidizi wake kumtafuta...

Kinara wa biashara ya dawa za kulevya anaswa

0
Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imemkamata mfanyabiashara anayedaiwa kuwa ni Kinara wa mtandao wa biashara ya dawa za kulevya aina ya Cocaine pamoja na kukamata gramu 692.336 za dawa...

KUPANDISHA KODI YA POMBE KUTAPUNGUZA VIFO

0
Shirika la Afya Duniani (WHO) hivi karibuni limetoa taarifa yenye data mpya inayoonesha namna ongezeko la kodi na ushuru katika pombe linaweza kuchangia kupunguza vifo.Shirika hilo limebainisha kuwa nchi nyingi duniani hazitumii mchakato wa...

Uhakika wa matibabu majeruhi wa maafa Hanang 100%

0
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amewahakikishia majeruhi wa maafa ya maafuriko wanaotibiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tumaini pamoja na vituo vingine vya kutolea huduma wilayani Hanang kuwa upatikanaji wa dawa...

Wajawazito wanaokunywa pombe washtakiwe

0
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa Afrika Kusini, Hendrietta Bogopane-Zulu amesema,Wajawazito wanaokunywa pombe wanapaswa kushtakiwa kwa uhalifu, kutokana na pombe kuathiri ubongo wa mtoto aliye tumboni.Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuongeza uelewa juu...

Dkt. Mollel : Tuwasaidie wawekezaji wa bidhaa za Afya badala ya kuweka vikwazo

0
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa mamlaka na taasisi zinazosimamia bidhaa za afya ikiwemo Dawa, vifaa tiba pamoja na vitendanishi kuwasaidia Wafanyabiashara wa bidhaa hizo kufanya biashara kwa mujibu wa...