Shaibu afungiwa michezo mitatu

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia michezo mitatu mchezaji wa Yanga, Abdallah  Shaibu maarufu kama Ninja kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa timu ya Coastal Union ya mkoani Tanga. Afisa Habari wa TFF, - Clifford Ndimbo...

Simba kumenyana na TP Mazembe na AL-Hilal

0
Klabu ya Simba ya jijini Dar es salaam imetangaza kufanya mashindano maalum yaliyopewa jina la Simba Super Cup, ambayo pamoja na mambo mengine yataikutanisha timu hiyo na timu ya TP Mazembe kutoka Jamhuri ya...

Kocha mpya wa Yanga atua Dar

0
Kocha Nasreddine Nabi raia wa Tunisia, ametua rasmi nchini hii leo, tayari kukinoa kikosi cha Yanga.Kocha huyo ametua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mkoani Dar es salaam...

Salah atangazwa kuwa mchezaji bora wa Afrika 2018

0
Mshambuliaji wa timu ya Liverpool na timu ya Taifa ya Misri Mohmed Salah ametangazwa na Shirikisho la soka Barani Afrika Caf kuwa mchezaji bora wa mwaka 2018 wa Afrika katika sherehe za utoaji wa...

Liverpool yazidi kuikaba koo Man City

0
Mohamed Salah usiku wa kuamkia leo amefunga bao lake la 22 tangu kuanza kwa msimu huu, baada ya kuiwezesha timu yake ya Liverpool kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Newcastle United katika...

Man City bingwa Carabao

0
Timu ya Manchester City imetwaa kikombe cha  Carabao baada ya kuitandika Chelsea kwa mikwaju ya penati minne kwa mitatu  katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Wembley .Ndani ya dakika 120,  timu hizo hazikuweza kufungana ndipo mikwaju ya penati ikapigwa.Katika...

Mshindi Ballon D’or kutangazwa leo

0
Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2018 ya Ballon D'or atatangazwa baadaye hii leo katika hafla itakayofanyika jijini Paris nchini Ufaransa.Nahodha wa timu ya Taifa ya  Croatia anayechezea Real Madrid, - Luka...

Mechi za nusu fainali ya CHAN kupigwa leo

0
Michezo ya nusu fainali za michuano ya CHAN mwaka 2021 zitachezwa leo huko nchini Cameroon ambapo washindi watafuzu kucheza fainali Jumapili Februari 7, mwaka huu.Nusu fainali ya kwanza itakuwa baina miamba miwili ya Afrika...

Newcastle yafungwa katika uwanja wake wa nyumbani

0
Timu ya Newcastle imepoteza mchezo wa nane kati ya kumi na moja waliyocheza ya ligi ya Uingereza kwenye uwanja wake wa nyumbani kwa msimu baada ya kukubali kipigo cha mabao mawili kwa bila kutoka...