Jamii ielimishwe tafsiri ya neno nasaha

0
Mhadhiri Msaidizi kutoka Idara ya Saikolojia na Unasihi Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) George Mwala amesema ipo dhana kwamba mtu anapohitaji nasaha kutoka kwa Mnasihi ana maambukizi ya virusi vya...

Mahitaji ya jamii kipaumbele CSR

0
Diwani wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Hassan Yusuph amesema Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imekuja na miongozo kuhusu uwajibikaji wa kampuni kwa jamii (CSR) itakayotoa namna bora...

Walimu ‘kunolewa’ suala endelevu

0
Mratibu msaidizi wa Mradi wa Kuimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari Tanzania (SEQUIP), Beatrice Mbigili, amesema serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inaendelea kutoa mafunzo mbalimbali kwa walimu wa shule za sekondari...

Bashungwa aonya lugha mbaya ya maafisa wa TRA

0
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kukuza uchumi wa sekta binafsi inayochangia makusanyo ya kodi ambazo zitawezesha ujenzi wa miundombinu ya barabara na utekelezaji wa miradi mingine ya maendeleo...

Wanaopitiwa na LTIP kupata hati

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema wizara hiyo itahakikisha inatoa Hati Miliki za Ardhi katika maeneo yote ambayo mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za...

Wabunge wa Uganda watembelea TCRA kujifunza

0
Wabunge kutoka Uganda na maofisa wa masuala ya Teknolojia ya Haabari na Mawasiliono (TEHAMA) wa nchi hiyo wametembelea Ofisi Kuu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ili kujifunza jinsi Tanzania inavyosimamia sekta ya mawasiliano...

Sasa tunauza nyama Dubai, Saudi Arabia

0
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameisaidia wizara hiyo kupandisha bajeti kutoka shilingi bilioni 66.5 mwaka 2021/2022 hadi bilioni 295.9.Hatua hiyo...

Jitokezeni uzinduzi Mbio za Mwenge

0
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Mbio za Mwenge wa Uhuru zitazinduliwa Aprili 2, 2024 na hivyo amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi kwenye uzinduzi...

𝘼𝙛𝙮𝙖 𝙣𝙞 𝙢𝙩𝙖𝙟𝙞, 𝘼𝙛𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙙𝙞𝙟𝙞𝙩𝙖𝙡𝙞 𝙣𝙖 𝙑𝙤𝙙𝙖𝘽𝙞𝙢𝙖.

0
Kata bima yako ya Afya kupitia simu yako ya mkononi popote ulipo kuanzia Tsh 70,000 tu kwa mwaka unufaike na watoa huduma zaidi ya 300 walioenea nchi nzima.Tumia M-Pesa App au piga 15000# >Huduma...

Wasichana wanawezeshwa bila wavulana kuachwa nyuma

0
Mratibu wa Mpango wa Shule Salama kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hilda Mgomapayo amesema Mpango wa Shule Salama kupitia mradi wa SEQUIP umejikita katika kuwezesha wasichana kupata...