Serikali yatoa bilioni 20 kulipa madeni ya korosho

0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa shilingi bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho.Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Msingi (AMCOS)...

Watu 9 wafariki Ziwa Tanganyika baada ya boti kuzama

0
Watu tisa wamefariki baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Tanganyika, Mkoani Kigoma.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Kamishna Msaidizi, Martin Ottieno amethibitsha kutokea kwa ajali hiyo katika eneo la Rasini.Kamanda Ottieno ameongeza...

Rais Magufuli ateua makatibu wakuu wa wizara ya mbili

0
Rais John Pombe Magufuli amemteua Balozi (Kanali) Wilbert Augustine Ibuge kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Kabla ya uteuzi huo Balozi Ibuge alikuwa Mkuu wa Itifaki (Chief...

Kiswahili na fursa za utalii Tanzania

0
Siku chache baada ya kishindo cha uzinduzi wa filamu ya Tanzania: The Royal Tour jijini Arusha, wanazuoni kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira mkoani humo wamesema kuwa utalii na Lugha ya Kiswahili vitabebana.Wakizungumza...

Serikali yashauriwa kutoruhusu safari za mabasi usiku

0
Serikali imeshauria kusitisha utaratibu wa mabasi kusafiri usiku kutokana na uwepo wa hatari kubwa ya kusababisha majanga kwa sababu madereva wanaoendesha magari usiku huwa hawalali mchana, badala yake huwa wanafanya kazi nyingine.Ushauri huo umetolewa...

Polisi Kenya yakamata Dola Milioni 20 Bandia

0
Jeshi la Polisi nchini Kenya linawashilikia watu Sita baada ya kukamata zaidi ya  Dola Milioni 20 za Kimarekani ambazo ni bandia katika tawi moja la benki ya Barclays lililopo jijini  Nairobi.Katika taarifa yake, Mkurugenzi wa Upelelezi wa...

Rwanda yahalalisha kilimo cha bangi

0
Serikali wa Rwanda imehalalisha kilimo cha bangi kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi ikiwa ni njia ya kuongeza mapato ya serikali.Uamuzi huo ulipitishwa Oktoba 12 mwaka huu katika kikao cha baraza la mawaziri...

Rais aagiza kuandaliwa kanuni kuongoza mikutano ya siasa

0
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kuandaa kanuni zitakazoelekeza jinsi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa nchini.Rais Samia ametoa agizo...

Dkt. Rioba ahimiza matumizi ya mitandao ya kijamii katika habari

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba akiwasilisha mada katika mkutano wa vyombo vya habari vya utangazaji na mabadiliko ya kidigitali Kigali nchini Rwanda.Katika mkutano huo Dkt. Rioba ametoa wito...