Dkt. Mpango ahutubia Azerbaijan

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa nchi Zisizofungamana na Upande Wowote kuendelea kushirikiana katika kutumia fursa, kukuza biashara ya kimataifa nauwekezaji, kushirikishana mbinu bora na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi.Makamu wa Rais...

Waziri wa TAMISEMI afuta vibali vya safari za viongozi

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amepiga marufuku wakuu wa mikoa, wilaya, makatibu tawala wa mikoa na wilaya pamoja na wakurugenzi wa halmashauri...

Siri 10 za Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati

0
Benki ya Dunia (WB) imeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 50 duniani za uchumi wa kipato cha kati, ikiwa ni ya pili baada ya Kenya katika nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC),...

Balozi Mulamula : Mahusiano ya Tanzania nje ya mipaka ni imara

Uingereza imesema Tanzania ni mbia muhimu na wa miaka mingi wa maendeleo katika Jumuiya ya Madola na kwamba itaendelea kushirikiana na Tanzania katika masuala ya uwekezaji, biashara, diplomasia na utawala bora.Waziri wa Uingereza anayeshughulikia...

Barcelona yapigwa 2 bila

0
Timu ya Barcelona imeangukia pua leo katika mchezo wa ligi baada ya kubamizwa mabao 2 kwa bila dhidi ya ValenciaBarcelona imepoteza mchezo huo huku hasimu wake wa karibu Real Madrid akijiwinda kukalia usukani wa...

Kigoma: Ukuta wa bandari uliogharimu bilioni 2 kubomolewa

Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma imeitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kubomoa mara moja ukuta wa Bandari Kavu ya Katosho.Agizo hilo limetolewa kutokana na ukuta wa bandari hiyo kujengwa bila kibali cha mamlaka...

Kamanda Muroto asema uchunguzi unafanyika kushambuliwa kwa Mbowe

0
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Giles Muroto amethibitisha taarifa za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kushambuliwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana mkoani Dodoma.Akielezea tukio hilo Muroto amesema leo asubuhi walipokea taarifa kutoka...

Dunstan Kyobya ateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

Rais John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Delphine Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani.Dkt. Magere anachukua nafasi ya Theresia Mmbando ambaye amestaafu.Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Magere alikuwa Ofisi ya Rais akishughulikia masuala ya...

Viongozi wa dini waomba kushiriki kutoa haki

0
Viongozi wa dini nchini wameomba kupewa nafasi ya kushiriki katika vyombo vya utoaji haki, ili kujenga jamii bora kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.Kauli hiyo imetolewa jijini Tanga na Kaimu...

YANGA YAZINDUA JEZI MPYA KWA KISHINDO DAR

0
Klabu ya soka ya Yanga ya Jijini Dar ea salaam kwa kushirikiana na kampuni ya GSM, leo wametambulisha jezi rasmi za timu hiyo watakazozitumia msimu wa 2019/20.Hafla hiyo ya utamburisho wa jezi hizo mpya imefanyika leo...