TCAA: Uwanja wa Bukoba ni salama

0
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA ) , imesema uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera ni salama na una uwezo wa kuhudumia ndege yenye uwezo wa tani hadi 29.Akizungumza na waandishi...

Dkt. Mohamed bosi mpya NECTA

0
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mtihani la Tanzania (NECTA).Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mohamed alikuwa Mkurugenzi wa Huduma za Ufundishaji, Mafunzo na Mitihani, Chuo...

Azam FC yatupwa nje Mapinduzi

0
Singida Big Stars wanaipiga Azam FC magoli 4-1 na kutinga fainali ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2022.Singida BS sasa wanasubiri mshindi kati ya Mlandege na Namungo FC, mchezo utakaopigwa kesho.

Ulega awataka bodi ya maziwa na nyama kwenda kwa Wananchi

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Maziwa kwenda katika halmashairi na vikundi vya vijana na wakina mama wanaojihisisha na maziwa kuhamsisha ukusanyaji wa maziwa ili kuongeza mnyororo wa thamani...

JWTZ yatangaza nafasi kwa vijana

0
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na jeshi kwa vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa muda wa miaka miwili,...

Siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani

0
Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambapo Tanzania inaungana na Mataifa mengine Duniani kuadhimisha siku hiyo.Kitaifa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yanafanyikia Zanzibar na Rais...

Baraza la Mawaziri mwisho kufanya kazi leo

0
Baraza la mawaziri litakoma leo kuendelea na shughuli za kikazi mara Rais Mteule, Dk. John Magufuli atakapoapishwa katika sherehe inakayofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk....

Ghana bingwa CANAF 2021

0
Timu ya Ghana wameibuka mabingwa kwenye mashindano ya soka barani Afrika kwa wenye ulemavu (CANAF 2021) baada ya kushinda Liberia magoli 3-2.Mchezo wa fainali hiyo umechezwa leo Desemba 4, 2021 kwenye...

Wananchi washauriwa kutumia Serengeti Safari Marathon kiuchumi

0
Wananchi wanaoishi Kanda ya Ziwa wametakiwa kutumia ipasavyo fursa zinazotokana na mbio za Serengeti Safari Marathon zinazofanyika kila mwaka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kujikwamua kiuchumi.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja...