MATOKEO KIDATO CHA NNE (CSEE) 2023.

0
Angalia matokeo ya kidato cha nne 2023 hapa.https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE%202023.htm

Karine Jean-Pierre msemaji mpya Ikulu Marekani

0
Kwa mara ya kwanza Ikulu ya Marekani (White House) imepata raia wa nchi hiyo mwenye asili ya Afrika kuwa msemaji wake baada ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo kumteua Karine Jean-Pierre (44) ...

Wasanii wampongeza Rais kwa kutoa misaada Dodoma

0
Wasanii mbalimbali wamekutana wilayani Chamwino, Dodoma kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake katika miaka miwili ya uongozi wake, ambapo wametoa vifaa mbalimbali hospitalini na pilipiki kwa jeshi la polisi ili kuunga...

Biashara ya vitenge Kigoma yapungua

0
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani  Kigoma  imetoa wito kwa wafanyabiashara wa kuuza vitenge mkoani humo kuwa na utamaduni wa kutunza kumbukumbu za biashara yao.Meneja wa TRA mkoani Kigoma, - Jacob Mtemang’ombe ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko ya baadhi...

Akamatwa kwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu Corona

0
Jeshi la Polisi nchini Kenya linamshikilia kijana mmoja mwenye umri wa miaka 23 kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo kuhusu homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.Elijah Kitonyo amekamatwa akiwa katika Kaunti...

Yanga na Simba zaingiza zaidi ya milioni 500

0
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa watazamaji 59,325 waliingia katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba.Kwa mujibu wa TFF, mapato yaliyotokana na mchezo huo...

Rais ateua Ma-DC

0
Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya Wakuu wa Wilaya.Said Mohamed Mtanda aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi amehamishiwa Wilaya ya Arusha, Abbas Juma Kayanda aliyekuwa...

Dkt Rioba awatakia heri wanawake TBC

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayub Rioba akizungumza na wanawake wafanyakazi wa TBC ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na kusema kuwa shirika hilo linawathamini wanawake na hata kuwakabidhi...

Shule za msingi na sekondari kufunguliwa karibuni

0
Rais John Magufuli amesema kuwa baada ya kufungua vyuo na kuruhusu masomo kwa wanafunzi wa kidato cha sita, wanaangalia namna hali inavyokwenda kisha shule za msingi, sekondari na awali zitafunguliwa.Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa...