Tanzania kutoshiriki Miss World 2021

0
Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la urembo la dunia (Miss World)  kwa mwaka huu Juliana Rugumisa,  hatoweza kushiriki shindano hilo lililopangwa kufanyika tarehe 16 mwezi huu nchini Puerto Rico kutokana na kukosa Visa.Waandaaji wa...

Al Hilal ya Sudan kuweka kambi Tanzania

0
Klabu ya Al Hilal ya Sudan inakusudia kuweka kambi nchini Tanzania kujiandaa na mchezo wao wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.Wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,...

Taifa Stars kujipanga dhidi ya Harambee Stars

0
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) wamesema watapambana ili waweze kushinda mchezo ujao  dhidi ya Kenya ili kuweza kujiweka kwenye mazingira mazuri kwenye michuano ya AFCON.Mshambuliaji Simon Msuva na mlinzi wa kushoto...

Mchezo wa Barcelona na Girona wazua utata

0
Klabu ya Real Madrid imepinga mchezo wa ligi daraja la kwanza nchini Hispania maarufu kama  LA Liga kati ya mahasimu zao wakubwa FC Barcelona na Girona kuchezwa Marekani.Awali bodi ya LA Liga iliomba ruhusa...

Tanzania yafuzu AFCON 2021

0
Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la Ufukweni imefuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa ushindi wa jumla wa mabao 12-9 dhidi ya Burundi.Mchezo wa kwanza Tanzania iliibuka na ushindi...

Singida Big Stars yapigwa bei

0
Uongozi wa klabu ya Singida Big Stars umefikia makubaliano ya kuiuza timu hiyo kwa wamiliki wa Fountain Gate.Mtendaji Mkuu wa Singida Big Stars John Kadutu amesema hayo mkoani Dar es Salaam katika mkutano wake...

Serikali yagharamia safari ya mashabiki 55 wa Yanga Afrika Kusini

0
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaidia kugharamia usafiri wa mashabiki 55 wa timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF).Hayo...

KMC na AS Kigali watambiana

0
Timu ya KMC ya Tanzania  na  ile ya AS Kigali ya nchini Rwanda,  zimetambiana kufanya vizuri katika mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Kocha Msaidizi wa timu ya KMC,...

Peter Banda aanza mazoezi

0
Nyota wa Simba, Peter Banda anaendelea na prograu maalumu itakayomrejesha kwenye ubora wake.Mchezaji huyo hajaonekana uwanjani tangu mwishoni mwa mwaka 2022 baada ya kupata kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.Ni kwenye...