JPM alia na hujuma dhidi ya Serikali

0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais John Magufuli amesema kuwa, miongoni mwa changamoto kubwa zinazolikabili Taifa ni hujuma dhidi ya jitihada za Serikali, hujuma ambazo zimekua zikifanywa na baadhi ya watu wasioitakia...

Kisanduku cheusi cha ndege iliyoanguka Indonesia chapatikana

0
Wapigambizi nchini Indonesia wamekipata kisanduku cheusi kinachorekodi mwenendo wa ndege cha ndege ya nchi hiyo iliyoanguka baharini Jumatatu wiki hii na kusababisha vifo vya abiria wote 189 waliokuwa ndani ya ndege hiyo.Ndege hiyo ilianguka...

Yanga yaachana na Zahera, Mkwasa akabidhiwa timu

0
Uongozi wa klabu ya Soka ya Yanga umetangaza rasmi kuachana na Kocha wake Mkuu Mkongomani Mwinyi Zahera na Benchi zima la ufundi la klabu hiyo.Nafasi ya Zahera amekabidhiwa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Klabu...

CAF yamtema Drogba

0
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemfuta kazi mmoja wa wateule wake Didier Drogba, kutoka katika nafasi ya kumshauri Rais wa shirikisho hilo, Ahmad Ahmad.CAF imefikia uamuzi huo baada ya Drogba kushindwa kutimiza...

Bondia Cheka atandikwa na Dulla Mbabe

0
Bondia Abdallah Pazi maarufu Dulla Mbabe ndiye mfalume mpya wa masubwi Tanzania baada ya kumatandika Francis Cheka kwa Knock Out na kunyakua taji la mabara. Mabondia wote walirushiana  makonde mazito lakini Dulla ndiye aliyemchapa makonde mazito...

Yanga SC yatinga fainali ya ASFC

0
Yanga SC imetinga fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuifunga Simba SC katika mchezo wa nusu fainali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.Goli pekee lililoipeleka Yanga fainali limefungwa na...

Waziri Mkuu awataka UVCCM kukuza vipaji vya vijana

0
Waziri Mkuu ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa ameushauri uongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) kuendelea na mshindano ya GREEN CUP kila mwaka Ili kuibua vipaji...

Arsenal waendeleza ushindi

0
Arsenal wameendeleza wimbi la ushindi baada ya usiku wa kuamkia leo kuweka rekodi ya kushinda mchezo wa 11 mfululizo katika mashindano yote kwa kuinyuka Sporting Lisborn ya Ureno bao moja kwa bila kwenye mchezo...

Peter Banda aanza mazoezi

0
Nyota wa Simba, Peter Banda anaendelea na prograu maalumu itakayomrejesha kwenye ubora wake.Mchezaji huyo hajaonekana uwanjani tangu mwishoni mwa mwaka 2022 baada ya kupata kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.Ni kwenye...

Novak Djokovic arudishwa kwao

0
Mchezaji maarufu wa tenisi duniani, Novak Djokovic amesafirishwa kurudi kwao kutoka nchini Australia baada ya maamuzi ya mahakama kukataa maombi yake ya kuendelea kuwapo nchini humo.Majaji walitupilia mbali pingamizi lililowekwa na mchezaji huyo maarufu...