Mapokezi makubwa kwa Tunisia Qatar

0
Timu ya Taifa ya Tunisia imepata mapokezi makubwa ilipowasili katika mji mkuu wa Qatar, Doha tayari kwa michuano ya Kombe la FIFA la Dunia inayotarajiwa kurindima kuanzia Jumapili wiki hii.Tunisia ambayo imepangwa kundi D...

Mpishi wa Arsenal atangaza kuondoka klabuni hapo

0
Baada ya miaka miwili ya kuitumia Arsenal FC kama mpishi, Bernice Kariuki aliyezaliwa na kukulia Nairobi nchini Kenya amethibitisha kuwa anaondoka klabuni hapo.Chini ya uongozi wa mpishi mkuu wa Arsenal, Kariuki amekuwa akiwapikia wachezaji...

Mashabiki elfu 17 tu kushuhudia mpambano Lake Tanganyika

0
Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili.Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias...

80% kufanyia kazi nyumbani wakati wa Kombe la Dunia

0
Serikali ya Qatar imesema wafanyakazi wa serikali wa nchi hiyo watalazimika kufanyia kazi nyumbani wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia yatakayoanza mwezi Novemba mwaka huu nchini humo.Taarifa iliyotolewa na serikali...

Simba yapoteza ugenini

0
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Simba, wamepoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya FC Platnum ya Zimbabwe kwa kufungwa bao 1 kwa bila.Bao pekee katika mchezo huo...

Waziri Mkuu aagiza kurejeshwa kwa michezo ya SHIMIWI

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza wizara zote zinazohusika na uratibu na uandaaji  wa Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) wahakikishe wanakutana na kuweka mpango wa kurejesha michezo hiyo ili watumishi wa umma...

Mwakinyo atamba kutetea mkanda wake

0
Bingwa wa Umoja wa Ngumi Barani Afrika (ABU) Mtanzania Hassan Mwakinyo ametamba kutetea mkanda wake kwa kumchakaza mpinzani wake bondia Julius Indongo kutoka Namibia, katika pambano la mizunguko 12 litakalofanyika hapo...

Simba yarejea kambini kujiwinda na Wydad

0
Klabu ya soka ya Simba inarejea kambini hii leo jioni kujiwinda na mchezo wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya mabingwa watetezi Wydad Casablaca ya Morocco.Afisa habari wa...

Chelsea mbabe kwa Norwich

0
Timu ya Chelsea imepata ushindi wa kwanza wa kimashindano msimu huu chini ya kocha wao mpya Frank Lampard, baada ya kuifunga timu ya Norwich mabao matatu kwa mawili katika mchezo wa Ligi...