Ronaldo njia panda Saudia Arabia

0
Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo na mchumba wake, Georgina huenda wasiishi pamoja nchini Saudia Arabia kutokana na sheria za nchi hiyo kukataza watu ambao hawajafunga ndoa kuishi pamoja.Taifa la Saudia Arabia linafuata sheria za...

Leicester yang’ara

0
Kocha wa Leicester City, Brendan Rodgers anaamini kikosi chake kimereja katika ubora baada ya kuitandika Aston Villa mabao manne kwa nunge, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliochezwa kwenye dimba la King Power.Jamie Vardy...

Serikali kuendelea kumsaidia Samatta

0
Serikali imesema kuwa itaendelea kumsaidia nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania - Taifa Stars anayechezea Klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji Mbwana Samatta,  ili kuhakikisha kuwa anafungua milango ya uwekezaji na kuiweka juu ramani ya soka...

Yanga SC yatinga fainali ya ASFC

0
Yanga SC imetinga fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya kuifunga Simba SC katika mchezo wa nusu fainali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.Goli pekee lililoipeleka Yanga fainali limefungwa na...

TFF: Waziri Dkt. Ndumbaro hajafungiwa

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro alishinda rufaa ya adhabu ya kufungiwa miaka saba iliyotolewa na uongozi wa TFF uliopita.Ufafanuzi wa TFF...

Everton yaikanda Arsenal

0
Baada ya kwenda miezi mitatu bila kupata ushindi, Everton leo imeondoka na alama tatu baada ya kuifunga Arsenal, ukiwa ni mchezo wa kwanza wa kocha Sean Dyche.Kwa kipigo hicho, Arsenal inakuwa imepoteza mchezo wa...

Wagombea watatu wa Urais wa CAF wajiuzulu

0
Wagombea watatu wa Urais wa Shirikisho la Soka Afrika wamejitoa ili kumuunga mkono Patrice Motsepe wa Afrika Kusini, ambaye sasa anakuwa mgombea pekee wa nafasi hiyo.Wa kwanza kujitoa alikuwa Augustin Senghor wa Senegal ambaye...

Tarehe ya kuanza kombe la Dunia yabadilishwa

0
Michuano ya Kombe la Dunia 2022 inatarajia kuanza siku moja mapema baada ya FIFA kukubali kuwaruhusu wenyeji Qatar kuanza kwa mechi dhidi ya Equador.Kabla ya mabadiliko hayo mechi ya kwanza ilitakiwa kuchezwa Novemba 21 kati ya Senegal...

Kocha wa Serengeti Boys avitwisha jukumu vilabu vya Tanzania

0
Kocha wa timu ya taifa ya mpira wa miguu kwa vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) amevitaka vilabu mbalimbali nchini Tanzania kuwachukua na kulea vipaji vya vijana hao, ili taifa liweze kuwa na...

Simba, Yanga hakuna mbabe TOT Bonanza

0
Ile mbiu ya shangwe za mashabiki wa Simba na Yanga katika mtandao wa Twitter imekosa mpulizaji baada ya timu hizo kulazimishana sare ya goli 1-1.Mchezo huo uliojawa na mbwembwe, kejeli na burudani za kila...