Tanzania yaichapa Somalia 1-0

0
Tanzania imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Somalia katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kwa fainali za michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani (CHAN) mwakani nchini...

Serena aondolewa katika mashindano ya wazi ya Australia

0
Katika michuano ya wazi ya tenesi ya Australia inayoendelea  mjini Melbourne mchezaji Serena Williams  amefungwa na Karolina Pliskova kwa seti mbili kwa moja ya   6-4, 4-6, 7-5 .Naye bingwa wa michuano ya wazi wa Marekani, Naomi Osaka  kutoka...

Klabu ya Tottenham kuanza kutumia uwanja wao hivi karibuni

0
Klabu ya Tottenham hotspur imesema uwanja wao mpya wa Whitehart Lane utakuwa tayari na kuanza kutumika kwa michezo mbalimbali  kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu.Spur walipanga kuanza kuutumia uwanja wao mpya kuanzia mwezi wa...

Tovuti ya Al-Nassr yazidiwa

0
Baada ya Cristiano Ronaldo kutambulishwa katika klabu ya Al-Nassr idadi ya watembeleaji wa tovuti ya klabu hiyo iliongezeka kwa kasi na kupelekea mtandao huo kuzidiwa na kuzima kwa muda.

Kibegi cha Simba kimeitangaza Tanzania

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa ataendelea kununua magoli yatakayofungwa na vilabu vya Tanzania kwenye mashindano ya Afrika, ikiwa hamasa ili vifanye vizuri zaidi ya msimu uliopita.Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza katika sherehe za...

Twaha Kiduku Bingwa UBO Afrika

0
Pambano la kuwania Ubingwa wa UBO Afrika limemalizika ambapo Twaha Khasim (Twaha Kiduku) amefanikiwa kumtandika mpinzani wake Alex Kabangu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) katika pambano la uzito wa Super Middle lililofanyika mkoani...

Tembo Warriors yachapwa na Poland

0
Timu ya Taifa ya Soka la Walemavu, Tembo Warriors, leo imepoteza mchezo dhidi ya Mabingwa wa Ulaya, Poland, baada ya kukubali kipigo cha 3-0. Poland ni mabingwa wa Ulaya kwa mashindano ya soka la...

Tuhuma zamtupa Antony nje ya kikosi cha Brazil

0
Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony amekanusha tuhuma zinazomkabili za kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake, Gabriela Cavallin, baada ya habari mpya kuchapishwa na vyombo vya habari nchini Brazil."Ninaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa tuhuma hizi ni...

Man U wapoteza nusu fainali Carabao Cup

0
Manchester United imeangukia pua katika mchezo wa nusu fainali kombe la Carabao baada ya kutandikwa mabao 3 kwa 1 dhidi ya Manchester CityMagoli ya City yamefungwa na Silva dakika ya 17, Mahrez dakika ya...