Miquissone avunja mkataba na Al Ahly

0
Klabu ya Al Ahly ya Misri imevunja mkataba na kiungo wa kimataifa wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kwa makubaliano ya pande zote.Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya Miquissone kurejea kutoka Abha FC ya Saudi Arabia...

Stars yawekewa milioni 500 mezani ikifuzu AFCON

0
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi milioni 500 endapo Taifa Stars itafuzu kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2023.Hayo yameelezwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Pindi Chana wakati...

Katuni inayomkejeli Serena yazua zogo

0
Umoja wa kitaifa wa waandishi wa habari weusi nchini Marekani umeilaani vikali katuni iliyochapwa na gazeti la Herald Sun la Australia jana Jumatatu, iliyomchora katika namna ya kuchekesha mcheza tennis nyota duniani, Serena Williams,...

Watanzania waitwa kwa Mkapa

0
Serikali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na wadau wengine leo wamehamasisha watanzania kuiunga mkono Taifa Stars katika michezo yake ijayo dhidi ya DRC na Madagascar na pia kuwaunga mkono Timu ya Taifa...

Ligi ya soka ya wanawake yaendelea nchini

0
Kivumbi cha ligi kuu ya wanawake Tanzania bara kinaendelea leo kwa michezo sita ya mzunguko wa pili kuunguruma kwenye viwanja tofauti kuanzia majira ya saa kumi jioni. Kwenye dimba la Isamuhyo jijini Dar Es Salaam...

Michuano ya vijana yatimua vumbi Poland

0
Michuano ya dunia ya vijana wenye umri chini ya miaka 20,  inaendelea kutimua vumbi nchini Poland huku wenyeji wa michuano hiyo ikianza vyema kwa kuitandika timu ya visiwa vya Tahiti mabao matano kwa bila.Katika michezo mingine, Argentina imeichapa...

Watatu wakamatwa sakata la ubaguzi wa rangi kwa Vinicius Jr

0
Matusi na ubaguzi wa rangi ulioelekezwa kwa mchezaji wa Real Madrid, Vinicius Jr, vimechochea mjadala mkali kuhusu ubaguzi wa rangi katika michezo na ikiwa jamii ya Kihispania ina tatizo na suala hilo.Polisi nchini Hispania...

Jahazi la Warriors lazamishwa

0
Hali inazidi kuwa tete kwa Golden State Warriors baada ya kukubali kipigo cha alama 120 kwa 92 kutoka kwa Oklahoma City Thunder katika Ligi Kuu ya kulipwa ya mpira wa kikapu nchini marekani (NBA).Denis...

Dodoma Jiji FC yaona mwezi

0
Dodoma Jiji imepata ushindi wa kwanza Ligi Kuu ya NBC mwaka huu baada ya kufunga Geita Gold FC goli 1-0 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Liti mkoani Singida.Kwa ushindi huo Dodoma imepanda hadi...

Tunahitaji viwanja vitatu zaidi kuandaa AFCON 2027

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila mmoja akitimiza wajibu wake inawezekana Tanzania kuandaa michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027.Rais Samia amesema kwa sasa Tanzania inahitaji viwanja vitatu zaidi ili kufikia...