Biteko akiwasili

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko alipokuwa akiwasili kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa usikivu wa kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania...

Tunasomana🔥🔥🔥

0
Ngorongoro, Makete, Kyela, Uvinza na Mbinga.Code zetu ndio hiziUzinduzi wa kituo cha kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM 🔥

Ngorongoro tumewafikia

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Aisha Dachi na Mwenyekiti wa Badi ya TBC Stephen Kagaigai wakiwa katika uzinduzi wa kituo...

Ripoti 21 za ukaguzi mezani leo

0
Mkutano wa 15 wa Bunge la bajeti unaendelea jijini Dodoma ambapo leo Aprili 15, 2024 pamoja na mambo mengine, ripoti 21 za ukaguzi zitasomwa na Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba.Tutakuwa mbashara kuanzia saa 3:00...

🔴#TBCLIVE: KIOO APRILI 14, 2024 | SAA 2:00 – 3:00 USIKU

0
https://www.youtube.com/live/11TwEhhzi2c?si=8swJFuHJHwp5pdUv

Biteko atua Loliondo

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amewasili Loliondo mkoani Arusha kwa ajili ya uzinduzi wa kituo cha kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM (Loliondo Ngorongoro) Aprili 15, 2024.Dkt....

Tumepokea Mil 260 za kujenga mabweni

0
Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Albert Msando amesema wanafunzi katika kijiji cha Msomera wana madarasa na madawati ya kutosha, na kwamba Serikali imewapatia shillingi Millioni 260 kwa ajili ya ujenzi wa mabweni...

Marufuku kubeba ama kupandikiza wagombea

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdullahman Kinana amewataka viongozi wa chama hicho Mkoa wa Mara kutobeba wagombea au kupandikiza wagombea kwa njia yoyote ile kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa...

Msipime viwanja kwenye mkondo wa maji

0
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amefika Mlima Kawetele ulioporomoka alfajiri ya leo Aprili 14, 2024 na kusababisha kufukiwa kwa nyumba 20, Ng'ombe wanne na kuharibika kwa miundombinu ya shule ya Mary's katika...