Msajili wa hazina ateta na wawekezaji wa madini

0
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Perseus ya nchini Australia iliyowakilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu Jeff Quartermaine na Afisa Fedha Mkuu Lee Anne...

Makamu wa Rais awasili Pemba

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango alipokuwa akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba, Zanzibar leo Aprili 21, 2024 ambapo atashiriki katika shughuli mbalimbali kuelelekeamaadhimisho ya miaka 60 ya Muungano yatakayofikia kilele chake Aprili...

Watanzania kushiriki maonesho ya biashara China.

0
Baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania watashiriki maonesho ya biashara ya Kimataifa maarufu kama Canton Fair huko jijini Guangzhou nchini China. Wafanyabiashara hao wataongozwa na Mwandishi wa vitabu mkongwe nchini, Nyambari Nyangwine.Maonesho hayo yanatarajiwa kuwa...

Makonda akagua maandalizi ya Mei Mosi

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amekagua maandalizi na marekebisho ya uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid uliopo jijini Arusha, uwanja uliopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, 2024.Mgeni...

Rais Samia atoa pole Kenya kifo cha CDF

0
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Kenya Rais William Ruto, Wananchi wote wa Kenya, familia, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha Mkuu...

Shahada ya udaktari wa heshima

0
Rais Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki, Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo leo...

Nchimbi awatembelea waathirika maporomoko Mbeya

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi pamoja na msafara wake, leo Aprili 17, 2024, amewajulia hali na kuwapatia pole wananchi wa Kata ya Itezi, Wilaya ya Mbeya Mjini, walioathiriwa...

Kinana: Toeni ahadi zinazotekelezeka

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewashauri viongozi na wataalamu wa serikali kuacha kutoa ahadi ambazo wanajua hazitatekelezeka au utekelezaji wake utachukua muda mrefu.Amesema ahadi hizo 'hewa' zimekuwa zikikwamisha...

Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa Heshima Uturuki

0
Chuo Kikuu cha Ankara ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Utururki kinatarajiwa kumtunuku Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Heshima ya Udaktari katika Uchumi ikiwa ni njia ya kutambua mchango wa uongozi wake...

Maporomoko ya udongo Geita yafunika mashamba

0
Zaidi ya ekari sita za mashamba ya mazao mbalimbali katika Mtaa wa Nshinde, Kata ya Nyankumbu nje kidogo ya Mji wa Geita zimeharibiwa na maporomoko ya udogo ambayo yametokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani...