Mashabiki Yanga wachekelea Masandawana kutolewa

0
Huenda mashabiki wa Yanga SC ndio wenye furaha kwa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kuliko hata mashabiki wa Esperance ya Tunisia ambayo ndiyo imeitoa Mamelodi.Furaha ya...

Waziri Jafo apanda mti TBC Arusha

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo leo Aprili 27, 2024 amepanda miti ya matunda katika ofisi za redio jamii za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Arusha...

Big up TBC, wengine igeni

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amelipongeza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kuendesha kampeni ya upandaji miti katika maeneo mbalimbali Tanzania."Kwanza nipende kuchukua fursa hii kwa...

Mihimili ya dola imefaidika kutokana na Muungano

0
Rais Samia Suluhu Hassan ametaja faida mbalimbali za Muungano ambazo ni pamoja na kuiwezesha Mihimili mitatu ya Dola kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba kwa kushirikiana pande zote mbili za Muungano bila ya...

Mikoa hii wana ndugu wa asili Zanzibar

0
Rais Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa usiku huu kupitia vyombo vya habari amesema undugu wa kihistoria ni chanzo cha Muungano kudumu kwa kuwa watu wa Tanganyika na Zanzibar kiasili ni wa jamii moja.Akilihutubia Taifa...

Septemba JWTZ itatimiza miaka 60

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Muungano umewezesha kulinda Uhuru na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lakini pia kupitia umoja wa Watanzania na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mipaka ya nchi imelindwa na...

Ajenda ya kutokomeza Malaria iwe ya kudumu

0
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amezitaka Kamati za Usalama kuona umuhimu wa kuifanya ajenda ya kutokomeza Malaria iwe ya kudumu kwenye vikao vya maamuzi.Dkt. Mollel ameyasema hayo akiwa amemwakilisha Waziri wa Afya,...

Simamieni fidia kwa wafanyakazi wenu

0
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Dkt. John Mduma amesema kuna umuhimu kwa Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kuhakikisha fidia stahiki inatolewa kwa wakati pindi wafanyakazi walio chini yao wanapoumia,...

Wizara yapania kuboresha hali za wafanyakazi

0
Wizara ya Maliasili na Utalii imepania kuendeleza hali bora za wafanyakazi wakati huu ambao sekta ya Maliasili na Utalii ikiendelea kuwa na nchango mkubwa katika uchumi kutokana na kuingiza fedha za kigeni kwa asilimia...

Moshi yazindua chanjo dhidi ya saratani

0
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro imezindua zoezi la utoaji chanjo dhidi saratani ya mlango wa shingo ya kizazi kwa wasichana wenye umri wa kuanzia miaka tisa hadi 14.Katika zoezi hilo lililozinduliwa leo...