Kamilisheni mchakato wa kupata ISO

0
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mary Maganga ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa utoaji huduma unaofuata viwango vya Kimataifa katika kushughulikia masuala ya fidia kwa...

TET yatoa mafunzo kuhusu mtaala ulioboreshwa

0
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inaendelea kutoa mafunzo kwa walimu wakuu wa shule za msingi za Serikali na zisizo za Serikali, kwa lengo la kuwajengea uelewa wa...

Idris kwenye Bridgerton Premiere

0
Mwonekano wa @idrissultan kwenye onyesho la kwanza 'Premiere' ya “Bridgerton” Season 3 nchini Afrika Kusini.Bridgerton ni filamu ya kihistoria ya mapenzi kutoka Marekani iliyopikwa na Chris Van Dusen kwa ajili ya Netflix.Chris Van Dusen...

Dkt. Msonde awapa somo walimu

0
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia elimu Dkt. Charles Msonde amewataka walimu kutumia kanuni ya kuchunguza uwezo wa mwanafunzi na watumie nyezo zitakazomwezesha mwanafunzi kuelewa...

Msimtenge Rais Samia

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana amesema mtu yeyote asijaribu kumtenga Rais Samia Suluhu Hassan na watanzania kwa kutoa kauli za kiuchochezi ikiwemo ile ya kwamba Rais ni Mzanzibar.Kinana amesema...

Vyama vije na hoja za kujenga nchi

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana ametoa rai kwa Watanzania kukataa maneno ya uchonganishi na ya kufarakanisha, kwani ndio njia sahihi ya kuuenzi Muungano na waasisi wake.Kinana ameyasema hayo mkoani...

Sera nzuri ndio ya ushindi

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana amesema katiba na sheria sio vitu pekee vinavyosaidia kushinda chaguzi mbalimbali, bali pia sera nzuri, usimamizi mzuri wa sera hizo pamoja na mipango sahihi.Kinana...

Watanzania tusikubali kugawanywa

0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana amesema Serikali haikatai kukosolewa wala kusahihishwa ila ingependa hayo yasifanywe katika ajenda zitakazowagawa Watanzania.Kinana ameyasema hayo mkoani Dodoma wakati wa mkutano wake na wanachama...

Likizo kwa wanaojifungua watoto njiti ni faraja

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel amesema tamko la serikali la kukubali ombi la kuongeza siku za likizo kwa wanaojifungua watoto njiti limetoa faraja kwa wanaojifungua kabla ya wakati na litasaidia...

Kimbunga HIDAYA kinasogea Pwani ya Tanzania

0
Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya Tanzania ambapo hadi kufika saa 9 usiku wa tarehe 03 Mei 2024 kilikuwa kimeimarika zaidi na kufikia hadhi ya Kimbunga kamili kikiwa umbali...