Mwili wa aliyefukiwa na kifusi mgodini wapatikana

0
Mwili wa mchimbaji mdogo wa madini Bahati Ngalaba aliyefukiwa na kifusi cha udongo kwa muda wa siku saba katika mgodi wa Golden Hainga, Kata ya Nyarugusu Wilaya ya Geita umepatikana.Bahati aliyefukiwa na kifusi Aprili...

Ulishapita Shekilango? Mwenye jina hilo wamjua?

0
Jijini Dar es Salaam kuna Barabara Mashuhuri inayoitwa 'Shekilango', ikianzia maungio ya Barabara ya Morogoro, eneo la nyumba za NHC, mkabala na Kiwanda cha Urafiki, ikipitia mitaa yote ya Sinza na kuishia Mmaungio ya...

Mwenge kupitia miradi ya Trilioni 8.53 Pwani

0
Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake mkoani Pwani ambapo ukiwa mkoani humo utapitia miradi 126 yenye thamani ya shilingi Trilioni 8.53.Mkuu wa Mkoa Pwani, Abubakari Kunenge amesema ukiwa katika mkoa huo, Mwenge wa Uhuru...

Mapande ya barafu yawa ghali Mali kuliko mkate

0
Joto kali ambalo limevunja rekodi limesababisha vipande vya barafu sasa kuuzwa kwa gharama kubwa kuliko mkate au paketi ndogo ya maziwa katika baadhi ya maeneo nchini Mali."Nimekuja kununua barafu kwa sababu kuna joto sana...

Bandari Mtwara yazidi kujiimarisha kivifaa

0
Bandari ya Mtwara imepokea boti maalumu kwa ajili ya kusaidia meli kutia nanga na kuondoka kwenye gati mara baada ya kushusha au kupokea mizigo.Boti hiyo maarufu kama Tugboat yenye thamani ya shilingi bilioni 25...

Rais Samia kuzindua ‘Mfanyakazi Tanzania’

0
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limesema linaanza kutoa rasmi gazeti maalumu ambalo litazungumzia masuala mbalimbali ya wafanyakazi nchini ambalo litafahamika kwa jina la ‘Mfanyakazi Tanzania’.TUCTA imesema gazeti hilo linatarajiwa kuzinduliwa rasmi na...

Mashabiki Yanga wachekelea Masandawana kutolewa

0
Huenda mashabiki wa Yanga SC ndio wenye furaha kwa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kuliko hata mashabiki wa Esperance ya Tunisia ambayo ndiyo imeitoa Mamelodi.Furaha ya...

Waziri Jafo apanda mti TBC Arusha

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo leo Aprili 27, 2024 amepanda miti ya matunda katika ofisi za redio jamii za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Arusha...

Big up TBC, wengine igeni

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amelipongeza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kuendesha kampeni ya upandaji miti katika maeneo mbalimbali Tanzania."Kwanza nipende kuchukua fursa hii kwa...

Mihimili ya dola imefaidika kutokana na Muungano

0
Rais Samia Suluhu Hassan ametaja faida mbalimbali za Muungano ambazo ni pamoja na kuiwezesha Mihimili mitatu ya Dola kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba kwa kushirikiana pande zote mbili za Muungano bila ya...