Mwili wa Askofu Tutu waanza kuagwa

0
Wananchi wa Afrika Kusini wameanza kuaga mwili wa Mwanaharakati na mpinga ubaguzi wa rangi Askofu Desmond Tutu, aliyefariki dunia nchini humo mapema wiki hii akiwa na umri wa miaka 90 baada ya kuugua saratani...

Viongozi EAC kuijadili DRC

0
Viongozi wa mataifa saba yanayounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana hii leo jijini Nairobi, Kenya, kujadili hali ya usalama katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya...

Dunia yafikisha watu bilioni nane

0
Dunia imetimiza watu bilioni nane kwa mara ya kwanza leo Novemba 15, 2022, na hii imechukua miaka 12 kufikia idadi hiyo.Inakadiriwa baada ya miaka 12 ijayo dunia itakuwa na watu bilioni tisa ingawa...

NORDIC watakiwa kuwekeza kwa vijana Afrika

0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba amezitaka nchi za NORDIC kutumia fursa za ushirikiano kati yao na Afrika kuwekeza kwenye nguvu-kazi ya bara hilo kwani ndilo lenye idadi...

Waziri Mkuu wa zamani wa Japan ashambuliwa kwa risasi

0
Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amelazwa hospitalini  akiwa mahututi baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa katika kampeni za chama chake cha Liberal Democratic (LDP), kampeni za uchaguzi wa wabunge katika mji...

Majaliwa : Diaspora itangazeni Tanzania

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana Diaspora wote kuwa mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania kokote waliko, na wawe tayari kuainisha fursa zilizopo.Waziri Mkuu Majaliwa ametoa kauli hiyo Tokyo nchini Japan alipokutana...

Watendaji TCCIA wanolewa India

0
Tanzania imeshauriwa kuwekeza kwenye matumizi ya teknolojia rahisi za uzalishaji pamoja na rasilimali watu, ili kusaidia kuharakisha maendeleo ya kiuchumi.Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa Taasisi ya Uongozi ya Jaipuria nchini India ...

Sasa rasmi watafuta hifadhi Uingereza kupelekwa Rwanda

0
Muswada wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda unatarajiwa kuwa sheria baada ya miezi mitano ya mabishano baina ya ofisi ya Waziri Mkuu huyo na Bunge.Muswada huo unaielezea Rwanda kuwa...

Rais Samia atunukiwa Tuzo Nigeria

0
Rais Samia Suluhu Hassan amepokea tuzo ya heshima ya Pyne Africa Awards 2022 katika hafla iliyofanyika kwenye viunga vya Eko Hotels na Suites, jijini Lagos, Nigeria.Rais Samia ametunukiwa tuzo hiyo baada ya kuchaguliwa...