Unaufahamu mji mkubwa zaidi duniani?

0
Mji wa Tokyo uliopo nchini Japan ni mji mkubwa zaidi duniani na wenye idadi kubwa ya watu kupita miji mingine yote.Kwa takwimu za Novemba 2022 zilizoonyesha dunia imefikisha idadi ya watu Bilioni nane, pia...

Rais Samia apokelewa Paris

0
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Ali Jabir Mwadini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Paris nchini Ufaransa leo Mei12, 2024.Akiwa jijini Paris Rais Samia anatarajiwa...

Huu ndio mpango wangu kuinyanyua Afrika

0
Kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameeleza majukumu ambayo atatekeleza iwapo atafanikiwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).Mambo hayo ni pamoja na kuhakikisha AU inafadhili programu na shughuli zake yenyewe.Odinga pia...

Boeing 737 yaanguka wakati ikipaa Senegal

0
Ndege aina ya Boeing 737-300 imeanguka wakati ikipaa nchini Senegal na kujeruhi watu 11, wanne kati yao vibaya.Ndege hiyo ya Air Senegal HC 301 iliyokuwa ikielekea mji mkuu wa Mali, Bamako ilitoka kwenye njia...

Aliyenasa kwenye jengo lililoporomoka Sauzi aokolewa

0
Wanandoa wameshiriki furaha yao na BBC baada ya kijana wao kuokolewa kutoka chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka siku ya Jumatatu katika mji wa pwani wa Afrika Kusini wa George.Delvin Safers anakuwa miongoni mwa...

Wanandoa watumia miaka 20 kurejesha msitu uliopotea

0
Mwandishi wa habari kwa picha Sebastião Salgado na mke wake Lélia Deluiz Wanick wa nchini Brazil, wamefanikiwa kurejesha msitu wa ekari 1,500 ambao ulikuwa umeharibiwa kutokana na ukataji miti.Msitu huo ulikuwa ni makao ya...

50 wanaswa kwenye vifusi baada ya jengo kuporomoka

0
Watu watano wamethibitika kufariki dunia baada ya jengo la ghorofa tano kuporomoka katika mji wa George nchini Afrika Kusini.Habari kutoka nchini Afrika Kusini zinaeleza kuwa zaidi ya watu 20 wamejeruhiwa katika tukio hilo na...

NORDIC watakiwa kuwekeza kwa vijana Afrika

0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba amezitaka nchi za NORDIC kutumia fursa za ushirikiano kati yao na Afrika kuwekeza kwenye nguvu-kazi ya bara hilo kwani ndilo lenye idadi...

Australia waandamana kupinga mauaji ya wanawake

0
Maandamano makubwa yamefanyika katika maeneo mbalimbali nchini Australia, kupinga vitendo vinavyodaiwa kuwa ni vya unyanyasaji dhidi ya wanawake ambavyo vimeripotiwa katika siku za hivi karibuni.Taarifa kutoka nchini Australia zinaeleza kuwa tangu mwaka huu uanze...

Mafuriko yachelewesha shule kufunguliwa Kenya

0
Serikali ya Kenya imeahirisha kufunguliwa kwa shule kwa wiki moja zaidi kutokana na mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 80 kufikia sasa.Takwimu zinaonesha kwamba shule nyingi nchini humo zimeathiriwa vibaya na mafuriko,...