Tanzania na UNAIDS kuendeleza ushirikiano

0
Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Umoja wa Mataifa la kudhibiti Ukimwi (UNAIDS) kuendelea kushirkiana katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi.Hayo yamebainishwa katika kikao cha pembezoni cha 75 cha Shirika la...

Askofu Nkwande : Dkt. Magufuli ameacha ishara nzuri kwa Tanzania

0
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Renatus Nkwande amesema mchango wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzana Dkt. John Magufuli kwa nchi yake ni mkubwa,  na ni sadaka kwa Watanzania.Akizungumza wakati...

Meli za uvuvi za Uingereza na Ufaransa zagongana

0
Meli moja ya uvuvi ya nchini Uingereza imegongana na meli nyingine ya uvuvi kutoka nchini Ufaransa huku wavuvi waliokuwa ndani ya vyombo hivyo vya majini wakitupiana maneno makali na kukaribia kupigana.Wavuvi hao wamekuwa wakigombea...

Wagombea upinzani DRC wailaumu Tume ya Uchaguzi

0
Wagombea wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo- DRC wameilalamikia Tume ya uchaguzi nchini humo Ceni kwa kuahirisha uchaguzi uliopangwa kufanyika Jumapili ya tarehe 23 mwezi huu.Wagombea hao wamesema hawataki uchaguzi uahirishwe kwa...

Wahamiaji kusakwa Loliondo

0
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya siku kumi kusaka wahamiaji katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha.Dkt. Makakala ametangaza kuanza kwa operesheni hiyo akiwa ...

Baiskeli ya boksi, utainunua?

0
Mhandisi mmoja maarufu katika chaneli ya YouTube ya The Q ametengeneza baiskeli yenye matairi ya kiboksi, tofauti na ilivyo sasa kwa matairi kuwa duara na baiskeli hiyo inafanya kazi vizuri kabisa.Si wazo jipya kuwa...

Mvua kubwa yaleta maafa Geita

0
Mtoto Marysiana Lucas (5) mkazi wa kijiji cha Bugogo halmashauri ya wilaya ya Geita amefariki dunia baada ya kudondokewa na ukuta alipokuwa akijitahidi kujiokoa baada ya mvua kubwa ya mawe kunyesha katika eneo hilo.Watoto...

Facebook yapigwa stop

0
Serikali ya Eswatini imeiagiza kampuni kubwa ya mawasiliano nchini humo ya MTN kuufunga mtandao wa Facebook, ikiwa ni moja ya njia ya kukabiliana na maandamano ambayo yamedumu nchini humo kwa miezi kadhaa.Habari kutoka nchini...

Korea Kaskazini yamuita makamu wa Trump ‘mpumbavu’, mkutano Juni 12 bado njiapanda

0
Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence (Picha na REUTERS)Vita ya maneno inaendelea kati ya maofisa wa Korea Kaskazini na Marekani ambapo katika hatua ya hivi karibuni ofisa mmoja wa ngazi za juu katika...

Wananchi wahamasishwa kulinda Mji Mkuu Addis Ababa

0
Maofisa katika Mji Mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa wamewataka wakazi kusajili silaha zao na kuwa tayari kulinda maeneo yao kufuatia wasiwasi wa waasi kuuvamia mji huo.Ombi hilo limekuja siku kadhaa baada ya kundi la...