Aokolewa tumboni mwa mama aliyekufa kwa shambulio

0
Sabreen alikuwa amekufa kabla ya kumtazama machoni mwanawe. Mama huyo mwenye umri mdogo alikuwa na mimba ya miezi saba na nusu.Zilikuwa siku zenye hofu ya kila mara, lakini Sabreen alitumaini kwamba bahati ya familia...

Mjadala wa ajenda ya demokrasia

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameshiriki katika mjadala wa ajenda ya demokrasia uliowakutanisha wakuu wa nchi na serikali pamoja na wakuu wa mashirika ya kimataifa uliofanyika kando ya mkutano wa Baraza Kuu la...

AFRIMMA yamtunuku tuzo Rais Samia Suluhu

0
Waandaji wa tuzo za AFRIMMA wamemtunukua Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tuzo ya Uongozi Bora kwa mwaka 2022 kutokana na  mchango wake katika kukuza na kuboresha tasnia ya sanaa na burudani.Tuzo hiyo...

Helikopta zagongana na kuua askari 10

0
Askari kumi wa Jeshi la Wanamaji la Malaysia wamefariki dunia baada ya helikopta mbili za Jeshi hilo kugongana.Helikopta hizo zimegongana wakati wa mazoezi ya gwaride la maandalizi ya maadhimisho ya miaka 90 tangu kuanzishwa...

Touadéra kuiongoza tena CAR

0
Rais Faustin-Archange Touadéra wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), ametangazwa mshindi wa kiti cha Urais kufuatia uchaguzi iliofanyika Desemba 27 mwaka 2020.Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri hiyo imemtangaza Faustin-Archange Touadéra kuwa mshindi...

Mfalme Charles III asimikwa

0
Mfalme Charles III wa Uingereza amesimikwa rasmi kushika kiti cha ufalme, kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita akiwa na umri wa miaka 96.Sherehe za kusimikwa kwa Mfalme Charles III...

Tete a tete

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda, mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Kigali.

Same na Mwanga wapata majengo mapya ya mahakama

0
Majengo mapya ya mahahama za wilaya za Mwanga na Same mkoani Kilimanjaro, yamezinduliwa rasmi hii leo na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma.Ujenzi wa majengo ya mahakama hizo ulianza mwezi ...

Awakumbuka wapenzi 42 kwa mkufu wa almasi

0
Rapa na mwimbaji maarufu duniani Aubrey Drake Graham anayejulikana sana kama Drake raia wa Canada, ametengeneza mkufu ulionakshiwa madini ya almasi kwa kutumia pete za uchumba 'engagement rings' 42 ambazo alipanga kuwavisha wanawake tofauti...

Hernandez nje kikosi cha Ufaransa

0
Kambi ya mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia Ufaransa imeendelea kupata pigo baada ya mlinzi wake wa kushoto Lucas Hernandez kuumia goti na huenda akashindwa kurejea uwanjani katika kipindi kifupi.Hernandez (26) ambaye pia ni...