Nandy azindua Record Label

0
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva @OfficialNandy ametambulisha rasmi Record Label yake ‘The African Princess’, ambayo ameeleza lengo lake ni kuinua vipaji vya watoto wa kike tu.“Ninayo furaha kubwa kuileta kwenu Rasmi THE...

Waziri Bashungwa atembelea kambi za mabondia

0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, Naibu Waziri wa wizara hiyo Abdallah Ulega pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Yusuph Singo leo Desemba 24, 2020...

Marc Anthony kupata mtoto wa 7

0
Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Salsa kutoka nchini Marekani, Marc Anthony (54) na mkewe Nadia Ferreira (23) ambao wamefunga ndoa wiki mbili zilizopita, jana wametangaza kuwa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.Marc Anthony ambaye...

Tamasha la TBC – WASTUE WANA

0
Wakazi wa Mbagala wameiomba serikali kuongeza fursa na kujenga viwanja vya michezo na burudani kwa vijana na watoto ili kuweza kuibua vipaji vingi nchiniWakizungumza na watangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania kupitia vituo vyake...

UEFA kuendelea leo usiku, Manchester United vs PSG, ni Kivumbi

0
Moja kati ya makundi magumu kwenye Ligi ya Mabingwa barani Ulaya msimu huu ni kundi H. Hapa kuna Man United, PSG, RB Leipzig na Istanbul Basaksehir. United, PSG na Leipzig wote wananafasi ya kufuzu...

Mahakama yatengua hukumu ya AY na Mwana FA

0
Mahakama Kuu imetengua hukumu iliyoamuru wanamuziki Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) na Ambwene Yesaya (AY), kulipwa Shilingi Bilioni 2.1 na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo baada ya kampuni hiyo kukiuka sheria za hakimiliki.Jaji...

Selena Gomez ampindua Kylie

0
Mwanamuziki na Mwigizaji Selena Gomez mwa nchini Marekani ameingia kwenye rekodi ya dunia 'Guiness World Record' kwa mara nyingine tena baada ya kumpindua mwanamitindo Kylie Jenner wa nchi hiyo na kuwa mwanamke mwenye wafuasi...

Jokate amtambulisha mwanae

0
Kwa mara ya kwanza Mkuu wa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam ambaye amewahi kuwa mlimbwende wa Temeke na mshindi wa pili wa shindano la urembo Tanzania mwaka 2006, Jokate Mwegelo amemtambulisha mtoto...

Mjukuu wa Bob Marley afariki dunia

0
Joseph ‘Jo’ Mersa ambaye ni mjukuu wa mwimbaji nguli wa rege ulimwenguni, Hayati Bob Marley, amefariki dunia.Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ ambao ni miongoni mwa vyombo vya kwanza kutoa taarifa ya kifo hicho,...

Kiduku apata pigo kabla ya pambano lake

0
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Twaha Kassim maarufu kwa jina la Twaha Kiduku amepata pigo baada ya kufiwa na baba yake mzazi Mzee Kassim Rubaha, aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda...