Director Khalifani afariki dunia

0
Mwandaaji na mwongozaji wa video za muziki nchini maarufu kama Director Khalfani Khalmandro amefariki dunia leo Mei 5, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.Taarifa za hivi karibuni za...

Bongo FM ni ya vijana wa Ngorongoro

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amewaambia wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha kuwa redio ya Bongo FM ipo kwa ajili ya vijana na mahitaji yao."Pia tunazindua kituo kwa ajili ya...

China kupiga stop harusi za kifahari

0
China ina mpango wa kudhibiti ongezeko la harusi za kifahari ambazo zimekuwa zikishamiri katika miaka ya hivi karibuni.Taarifa iliyotolewa na serikali ya China imesema kuwa harusi nyingi zinazofanyika nchini humo hivi sasa zimekua sio...

Tiwa Savage atunukiwa Shahada ya Heshima

0
Mwimbaji na mtunzi maarufu wa Nigeria, Tiwa Savage amepokea Shahada ya heshima ya udaktari kutoka chuo Alma Mater, Chuo Kikuu cha Kent nchini Uingereza.Tiwa alitunukiwa shahada hiyo, kwa uchezaji wake na kuwa na...

Diamond kufanya show kubwa Dar

0
Mwanamuziki wa Bongo Flava Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz ametangaza kufanya tamasha kubwa litakalofanyika kwa muda wa siku mbili.Amewaambia waandishi wa habari kuwa tamasha hilo litafanyika Aprili 26 na 27 mwaka huu katika Viwanja...