Ni Liverpool vs RB Leipzig, Man City vs Borussia Monchengladbach

0
Droo ya 16 bora ya mashindano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya imetangazwa rasmi mara baada ya kumalizika kwa hatua ya makundi wiki iliyopita.Chelsea watakutana na Atletico Madrid ambao ni vinara wa ligi ya Uhispania,...

Misemo iliyobamba 2022

0
Misemo ni sehemu ya maisha ya jamii, ambapo huzuka na hupotea baada ya muda fulani.Mwaka 2022 imezuka misemo mingi, hii ni baadhi tu ya iliyojipatia umaarufu zaidi.Unaweza kuongeza msemo mwingine ambao unaukumbuka.

MILIONI 700 ZA MBAKISHA CHAMA SIMBA SC

0
"Nimpongeze Mwenyekiti wetu wa Bodi, Mohammed Dewji. Mimi natoa 10,000 kwa mke wangu Mama Seif na nikikuta kisamvu napiga kelele nyumba nzima, sembuse yeye aliyetoa milioni 700 kum'bakisha mchezaji ndani ya klabu...

EPL kuendelea usiku wa leo

0
Timu ya Arsenal inashuka dimbani hii leo dhidi ya Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu England.Arsenal ipo nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi Kuu England, hivyo inahitaji ushindi katika mechi ya...

Filamu ya Oppenheimer yashinda tuzo 7

0
Filamu ya Oppenheimer imeshinda tuzo saba katika tuzo za 96 za Oscar zilizotolewa usiku wa kuamkia leo Machi 11, 2024 kwenye ukumbi wa Dolby Theatre uliopo Hollywood, Los Angeles nchini Marekani.Tuzo ambazo Oppenheimer imeshinda...

Benzema aipa ushindi Real Madrid

0
Mshambuliaji mahiri wa Klabu ya Real Madrid Karim Benzema ameibuka kinara katika mchezo wa ligi ya Uhispania maarufu kama La Liga baada ya kufunga mabao 2 ya ushindi dhidi ya Athletic Bilbao.Katika mchezo huo,...

Cillian Murphy mwigizaji bora Oscars

0
Mwigizaji wa Ireland, Cillian Murphy ameshinda tuzo ya mwigizaji bora kupitia filamu ya Oppenheimer kwenye tuzo za 96 za Oscar zilizotolewa usiku wa kuamkia leo huko Los Angeles, California nchini Marekani.Oppenheimer ni filamu ya...

Rayvanny anyakua tuzo tano EAEA

0
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Raymond Mwakyusa maarufu Rayvanny, usiku wa kuamkia leo ameshinda Tuzo tano za East Africa Arts Entertainment Awards (EAEA) zilizotolewa nchini Kenya.Tuzo alizoshinda ni Msanii Bora wa kiume...

Chelsea wachezea kichapo ugenini

0
Wazee wa darajani Chelsea (the blues) wameshindwa kutamba mbele ya wenyeji Wolverhampton Wanderers katika dimba la Molineux baada ya kuchezea kichapo cha mabao 2 kwa 1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.Mabao ya...

Mafua yamkwamisha Rihanna kushiriki Met Gala

Kwa mujibu wa tovuti ya gazeti la PEOPLE la nchini Marekani, mwanamuziki na mwanamitindo Robyn Rihanna Fenty (36) maarufu Rihanna au Riri ameshindwa kuhudhuria tamasha la Met Gala kwa mwaka 2024 kutokana na kuugua...