Vanesa Mdee azidi kupasua anga la kimataifa.

0
Mwanamuziki na mwanaharakati wa haki za wanawake, Vanessa Mdee amefanikisha kurusha sehemu ya kwanza ya podcast yake ya ‘Deep Dive with Vanessa Mdee’ leo kwenye application ya Spotify, Google Podcasts na Apple Podcasts App.Mdee...

Mirabaha kwa wasanii yanukia

0
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt . Faustine Ndugulile pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa wamekutana katika kikao cha pamoja kujadili namna Wizara wanazozisimamia zitakavyotekeleza suala la...

Simba, Yanga hakuna mbabe TOT Bonanza

0
Ile mbiu ya shangwe za mashabiki wa Simba na Yanga katika mtandao wa Twitter imekosa mpulizaji baada ya timu hizo kulazimishana sare ya goli 1-1.Mchezo huo uliojawa na mbwembwe, kejeli na burudani za kila...

Naibu Waziri Gekul Akutana na Wahitimu ya Uigizaji

0
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul amekutana na Waigizaji waliohitimu mafunzo ya uigizaji chini ya udhamini wa Kampuni ya MultChoice Bungeni Jijini Dodoma hi leo Mei 6, 2021.Naibu Waziri Gekul...

Yanga yajiimarisha kileleni

0
Klabu ya soka ya Yanga imendelea kusalia kileleni baada ya kuwachapa maafande wa Tanzania Prisons mabao 2-1 kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mkoani Rukwa.Mabao ya Yanga yamefungwa na kiungo wake Feisal Salumu dakika ya...

Bikira Jane apata mtoto

0
Mwigizaji mashuhuri wa Marekani, Gina Rodriguez na mumewe, Joe LoCicero wamefanikiwa kupata mtoto wa kwanza miaka sita tangu wakutane kwa mara ya kwanza.Rodriguez na mumewe walikutana wakati wa uandaaji wa tamthiliya ya Jane the...

Wafundisheni Vijana Mila na Desturi za Makabila : Naibu Waziri Shonza

0
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza ametoa wito kwa Wadau mbalimbali kuandaa matamasha ya kufundisha vijana maadili, mila na desturi nzuri.Naibu Waziri Shonza ametoa wito huo wilayani Mbulu...

17 kuwania taji la Miss Ilala 2021

0
Warembo 17 wanatarajiwa kuingia kambini kujiandaa na shindano la urembo la Miss Ilala ambapo mshindi atawakilisha mkoa huo katika shindano la kumtafuta mrembo wa Tanzania.Mwenyekiti wa kamati ya Miss Ilala Lucas Rutainurwa amewaeleza Waandishi...

Simba yawasha moto Tabora

0
Klabu ya Simba imeipa Klabu ya soka ya KMC kipogo cha mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi kuu ya NBC ambayo ipo katika mzunguko wake wa 10.Mchezo huo wa ligi kuu ya NBC...