Serikali : Hatutakamata wasio na bima ya afya

0
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema, serikali imekamilisha rasimu ya muswada wa Sheria ya Bima ya Afya, na imewasilisha rasimu ambayo imesomwa kwa mara ya kwanza katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

Ujenzi wa Vituo vya Afya Korogwe Wasuasua

0
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tanga kimeeleza kutoridhirishwa na kasi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata za Mnyuzi na Kerenge vilivyopo wilayani Korogwe ambavyo licha ya Serikali kutoa fedha, ujenzi bado...

Homa ya Mgunda yagundulika Ruangwa

0
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema, upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua ugonjwa usiojulikana katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi umethibitisha ugonjwa huo ni Leptospirosis Field Fever, kwa kiswahili homa...

Ampa ujauzito binti yake ili asiolewe

0
Yeremia Chidaka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiteto mkoani Manyara, akituhumiwa kumpa ujauzito mwanae wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16.Mshtakiwa amekiri kosa na kusema halikuwa kusudio lake kufanya hivyo na...

Maajabu ya mti unaotibu magonjwa 100

0
Mti huu unaitwa Mlonge (moringa oleifera), asili yake ni uhindi na unapandwa maeneo ya kanda za tropiki na nusutropiki.Maganda mabichi ya Mlonge, maua yake, mbegu, mizizi na majani yake hutumika kama chakula na dawa...

Wakunga na wauguzi wazembe walimwa adhabu

0
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) ambalo ni mamlaka ya kisheria inayosimamia taaluma na wanataaluma wa Kada ya Uuguzi na Ukunga nchini, limewasimamisha kutoa huduma wauguzi na wakunga tisa huku wengine wanane wakipewa...

Rais Samia atembelea wagonjwa

0
Rais Samia Suluhu Hassan ametembelea wodi ya watoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, alipokuwa akikagua ujenzi wa majengo mbalimbali hospitalini hapo ikiwa ni siku ya pili na ya mwisho ya ziara...

Hospitali Butiama yapatiwa mashine za oxygen

0
Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Butiama, Jumanne Sagini ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation, Doris Mollel katika kukabidhi mashine tatu za...

Rais Samia aipongeza hospitali ya Rufaa Manyara

0
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza watumishi wote wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Manyara (Manyara RRH) kwa kutoa huduma bora na kuwataka waendelee kuwa na moyo wa kujitolea wakati wa kutekeleza majukumu...

Afya ya Malkia Elizabeth II yadhoofika

0
Wanafamilia wa karibu wa Malkia Elizabeth II wamekusanyika kwenye Kasri la Balmoral nchini Scotland baada ya afya ya Malkia huyo kudhoofika na kupelekea madaktari wa Malkia kupendekeza apewe usimamizi wa karibu wa matibabu.“Kufuatia...